Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Leo nimekusoma sana mzee baba.

Kwa kweli humu kumpata mwanamke wa kweli sahau kabisa,

Hata sisi wanaume wa humu siyo wa kuoa wengi wanawachezea tu wanawake humu,

Mimi sikutaka kurudi nyumbani kuoa nikasema labda nitaoa humu huku ila nimebadilisha mawazo nitarudi kuoa kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pacha wangu huishiwi vituko... ulitaka kuoa mwanamke jf umebadili mawazo unarudi kijijini tu hahaha mbona na sie wa kijijini tuna simu na tupo jf kama kawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom