Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Kipi kilichokufanya ufanye huo utafiti kuhusu wanawake wa humu jf? Je ulidhani ni alliens? Au papuchi zao ziko mgongoni? Au wanatoka sayari ya mars? Kwanini ulihisi hawawezi kuwa ma mapungufu kwa maana ya uwezo tofauti wa kufikiri? Sifa ya kuwa mwanamke bora jamii forums ni ipi? Kutoingia MMU kama afanyavyo mkeo?kama ulikuwa na muda wa aproach na wanawake vilaza inakuwaje wewe usiwe kilaza? Kabla ya utafiti ulizooom neno " (jamii" ) forums? Jamii forums inahusu watu gani?

Mimi sijakuelewa aisee!! .@Gudume

Sent using Jamii Forums mobile app
Na huwez kumuelewaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]labda uzime data

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom