Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

For sure...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila jaman eti maandishi tu mtu anajua wewe mdangaji makubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama vile ushawahi mdanga. Mimi kuna vitu mtu akisemaga nacheka na namuona punguani maana anachokiandika kakiweka kwenye ubongo wake na hakitakaa kitokee kati yetu sasa bora ajifurahishe kwa picha alojiwekea kwenye ubongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema kwa post hii JF wafute tu Jukwaa La Love Connect halina maana tena. Kumbe kuna watu wanaandika huku wanatafuta wapenzi kumbe lengo lao wanataka kutuchora waje watuanike madhaifu yetu huku.


Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nasemaje nifundishe kurudisha sms tsap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee kama unaheshimu privacy ya mtu huwezi kuangaika nayo ukiona hivyo inauma sana ndo maaana unajoshongodoa kuandika kitu cha mtuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kweli nimeamini jamiiforum sitakiwi kuwa serious sana.. Maana ntapewa majibu nnayo yahitaji halaf nafungwa motor

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kuwa unavyotaka kuwa usiwe mnafki. Huku watu wanafki sana. Kuna mwanaume anajifanya mstaarabu sijui hatongozi lakini kuwa anashinda pm kwa wadada. Au mwingine anakua na ID mbili moja anajifanya mtu wa busara ila nyingine ni takataka ambayo hata jalala haiitaki kwa uchafu wake.
Ukiishi huku kuwa wewe. Usifuate mkumbo. Usiwe mnafki au kujiona wewe ndio msafi sana. Kutwa kunyooshea wengine vidole. Kusema sema wanawake wanadanga wakati ndo unashinda pm zao. Na sisi tunawachoraga tu mnavyojishaua huku ila pm mnajitumisha mimeseji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahhahaha yani acha tu piemu watu wanashinda huku ila ni watakatifu tunawachora tu shweeenzy nyieeee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…