Ushauri kwa Mhenga huo,
Mwanamke aliyejiunga JF anajifunza vitu vingi sanaa, vizuri na viovu....
Ni kweli kwamba, Kutumia muda mwingi kwenye Social media ni kiashiria cha kukosa majukumu (unaweza ukawa na kazi lkn usiwe na majukumu ya kutekeleza)......
Kutafuta mchumba kwenye Social media, itokee tu by chance na sio kuwa serious kuwa unatafuta mchumba....
Wazee, wanawake mnaoishi nao huko mtaani ndio hawahawa waliopo kwenye Social media.
Ni kweli kwa asilimia kubwa uandishi wa mtu waweza mtafsiri alivyoo.....
Mimi sitaki kujua habari za sura na maumbile ya mtu, mana hizo ni mtazamo wa mtu.
Nazungumzia tabiaa, uki messup hapa ndo umeharibu kila kituu.
Sent using
Jamii Forums mobile app