[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nawachora tuWii usiingie kwenye mtego wao. Ya pm yaache usilete ushahidi ila wajue tunawachora
Sent using Jamii Forums mobile app
Shwari kabisa....MorooooooNipo za masiku? Wapi hiyooo?
Kwenye hela tu sio mapenzi mkuuLakini mzigua90 nyie si ndio mnasema wazee ndio wanajua kupeti peti
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo ndo mme wetu wa jfMbona unajitetea Julius subiri tuone unavyojilalamisha. Sema wewe hata ukipewa haina shida hutusemagi wadangaji. San sana anaekuletea mdomo unampa dudu anakaa kimya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina kigezo. Nikikupenda nimekupenda. Hata use handsome naweza nisikupende au ukawa na hela naweza nisikupende vile vileKweli.
Wew unamkubali mwanaume endapo utaona mzur anakufaa.
Usinifiche niambie kigezo gani kingine huwa unaongezea ili kumkubalia mwanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Oou oouk Naona mnarusha mashambulizi kwa mbali mbali.. Muhimu msogee karibu karibu tufunge mwaka..[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaaaa tunawaheshimu sanaaaHatuwezi kufika huko. Tunawaheshimu kaka zetu japo nyie mnajiona malaika
Sent using Jamii Forums mobile app
Waambieni basi wanaume wa kweli hawayatoi nje yaliyofanyika pembeni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ushumbwandaaaa
Sema kwa post hii JF wafute tu Jukwaa La Love Connect halina maana tena. Kumbe kuna watu wanaandika huku wanatafuta wapenzi kumbe lengo lao wanataka kutuchora waje watuanike madhaifu yetu huku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora useme wewe unayejielewaaaGudume ametoa utafiti wake but kuna swali la kujiuliza mpaka wanawake wamefika hapo 1-je hakuna wanaume tuliochangia kuwafisha hapo au kinyume chake?
2.-je hatuoni threads za wanaume nyingi tu ambazo ziko negative towards KE?
3-je kuna nini kwenye conservatve society kama zanzibar divorce rate imekuwa kubwa kiasi cha kufungua shule za mahusiano?
4-je hatuoni ni makosa kudhania wana jf kuwa tofauti sana na hao walioko mtaani.
5-Tunahitaji sana wataalamu wa kubadili mitazamo yetu kwenye Mahusiano
Sina kigezo. Nikikupenda nimekupenda. Hata use handsome naweza nisikupende au ukawa na hela naweza nisikupende vile vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa wanaandika ilimradi ila wanaowafuta ndio wajinga kabisa.Miaka yangu yote hii ya kuwepo JF nimekuwa nikijiuliza sana...kuwa, hawa watu wanaokujaga humu na kuweka matangazo ya kutafuta wenza/ wachumba, huwa ni kweli wanamaanisha au huwa wanaandika tu ilimradi?
Mimi kikawaida huwa ni mgumu sana kuamini aisee.
Mfano, unakuta mtu kajiunga leo leo na bandiko lake la kwanza ni huko Love Connect anatafuta mwenza!
Ukimsoma unaona kabisa si mgeni kivile.
Sasa ambacho huwa najiuliza ni hiki; hivi watu wengine kweli huwa wanawachukulia serious hao wanaoweka matangazo yao huko?
Maana mimi binafsi wala siwachukuliagi serious kabisa. Huwa naamini ni watu tu walioamua kuandika tu lakini si kweli kwamba wanatafuta wachumba.
Anywho, watu tumetofautiana! Binafsi huwa siamini mambo kirahisi rahisi tu.
Weka mambo hapa we mtoto.. Halaf nakusubiri Mitaa ya destination hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ushumbwandaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mama. Wanaoenda huko nao hawajielewi. Mtu humjui hakujui unaendaje kumkubalia ombi pm? Ukikuta ni mzee kama babu yako je?
Sent using Jamii Forums mobile app