Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Sema kwa post hii JF wafute tu Jukwaa La Love Connect halina maana tena. Kumbe kuna watu wanaandika huku wanatafuta wapenzi kumbe lengo lao wanataka kutuchora waje watuanike madhaifu yetu huku.

Sent using Jamii Forums mobile app

Miaka yangu yote hii ya kuwepo JF nimekuwa nikijiuliza sana...kuwa, hawa watu wanaokujaga humu na kuweka matangazo ya kutafuta wenza/ wachumba, huwa ni kweli wanamaanisha au huwa wanaandika tu ilimradi?

Mimi kikawaida huwa ni mgumu sana kuamini aisee.

Mfano, unakuta mtu kajiunga leo leo na bandiko lake la kwanza ni huko Love Connect anatafuta mwenza!

Ukimsoma unaona kabisa si mgeni kivile.

Sasa ambacho huwa najiuliza ni hiki; hivi watu wengine kweli huwa wanawachukulia serious hao wanaoweka matangazo yao huko?

Maana mimi binafsi wala siwachukuliagi serious kabisa. Huwa naamini ni watu tu walioamua kuandika tu lakini si kweli kwamba wanatafuta wachumba.

Anywho, watu tumetofautiana! Binafsi huwa siamini mambo kirahisi rahisi tu.
 
Gudume ametoa utafiti wake but kuna swali la kujiuliza mpaka wanawake wamefika hapo 1-je hakuna wanaume tuliochangia kuwafisha hapo au kinyume chake?
2.-je hatuoni threads za wanaume nyingi tu ambazo ziko negative towards KE?
3-je kuna nini kwenye conservatve society kama zanzibar divorce rate imekuwa kubwa kiasi cha kufungua shule za mahusiano?
4-je hatuoni ni makosa kudhania wana jf kuwa tofauti sana na hao walioko mtaani.
5-Tunahitaji sana wataalamu wa kubadili mitazamo yetu kwenye Mahusiano
Bora useme wewe unayejielewaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana tunao anza maisha tunachangamoto sana,

Unaweza penda mvulana anae anza maisha ukavumilia apate pa kujishikiza na achonge kitanda,
Kusex na wew aje kufanya hvo baada ya miaka 3 kwa vile hakuwa na hela ya kukuleta karbu na kukaa na wew?
Sina kigezo. Nikikupenda nimekupenda. Hata use handsome naweza nisikupende au ukawa na hela naweza nisikupende vile vile

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka yangu yote hii ya kuwepo JF nimekuwa nikijiuliza sana...kuwa, hawa watu wanaokujaga humu na kuweka matangazo ya kutafuta wenza/ wachumba, huwa ni kweli wanamaanisha au huwa wanaandika tu ilimradi?

Mimi kikawaida huwa ni mgumu sana kuamini aisee.

Mfano, unakuta mtu kajiunga leo leo na bandiko lake la kwanza ni huko Love Connect anatafuta mwenza!

Ukimsoma unaona kabisa si mgeni kivile.

Sasa ambacho huwa najiuliza ni hiki; hivi watu wengine kweli huwa wanawachukulia serious hao wanaoweka matangazo yao huko?

Maana mimi binafsi wala siwachukuliagi serious kabisa. Huwa naamini ni watu tu walioamua kuandika tu lakini si kweli kwamba wanatafuta wachumba.

Anywho, watu tumetofautiana! Binafsi huwa siamini mambo kirahisi rahisi tu.
Huwa wanaandika ilimradi ila wanaowafuta ndio wajinga kabisa.
Mtu kajiunga leo anataka mwanamke na wewe mwanamke kweli unaenda kujikubalisha?
Haya sasa ndo unakuta kama hivi kumbe mtu wala alikua hana mpango alikua anaangalia ni wanawake wangapi ni maharage ya Mbeya na wanaishije nje ya JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahah toka nijiunge sijawahi kwenda pm kutongoza aiseee sinaga kujiamin kias hichooo khaaa mengine wanasingizia[emoji291][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli mama. Wanaoenda huko nao hawajielewi. Mtu humjui hakujui unaendaje kumkubalia ombi pm? Ukikuta ni mzee kama babu yako je?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom