kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,981
- 4,857
Sasa unaweza ukajua umepata bonge la bwana ila ukishaliwa unajua ulibeba kiazi mbatata
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji39][emoji39]asantee mamy hawa ndugu zetu wana ukoloni mamboleoWanawake huwa hatuna kawaida ya kusifiana ukiona mwanamke mwenzio ana kusifia jua ana maanisha, Demiss mamy wew ni mrembo achana nae aliye andika hivyo tunao kujua hatukosei [emoji7][emoji7][emoji1787][emoji1787]
shwari kabisa...karibu mcheleAh upo mji kasoro...wanasemaje huko?
Nakuja nakunywa serengeti lite 20 unakuja kutangaza demu una tumbo au kontena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh.
Nawapata vizuri mjue.
Na chakula nakula kuku mzima peke yanguNa kweli wanawake wenye mwili mkubwa kama wew
Mnakunywa bia nyie hatar.
Sent using Jamii Forums mobile app
π€£π€£π€£Hao wanawake walio enda pm kwa huyo Gubudume wanapita kama radi kwenye huu uzi wavumilie tu sio kwa ubaya, ila hili liwe funzo kwa sisi wanawake tuache kujipendekeza kama Ridhiki ipo ipo tu sio kwa kudandia mikahaba ya kiume iliyopo mitandaoni kinafiki.[emoji39][emoji39]asantee mamy hawa ndugu zetu wana ukoloni mamboleo
Sent using Jamii Forums mobile app
Asanteshwari kabisa...karibu mchele
Jamii yetu inaamini kudate mtandaoni ni umalaya ndio mana hata alietafuta mwanamke akakubaliwa bado anamuona aliemkubali ana matatizoSio kweli kwamba hawajielewi shida ni jamii yetu yenye jiggers mind tu kwani kuna dating sites ngapi ambazo zimeleta mafanikio
Jamii yetu inaamini kudate mtandaoni ni umalaya ndio mana hata alietafuta mwanamke akakubaliwa bado anamuona aliemkubali ana matatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
π€£π€£π€£Hao wanawake walio enda pm kwa huyo Gubudume wanapita kama radi kwenye huu uzi wavumilie tu sio kwa ubaya, ila hili liwe funzo kwa sisi wanawake tuache kujipendekeza kama Ridhiki ipo ipo tu sio kwa kudandia mikahaba ya kiume iliyopo mitandaoni kinafiki.
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]kabisaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hao wanawake walio enda pm kwa huyo Gubudume wanapita kama radi kwenye huu uzi wavumilie tu sio kwa ubaya, ila hili liwe funzo kwa sisi wanawake tuache kujipendekeza kama Ridhiki ipo ipo tu sio kwa kudandia mikahaba ya kiume iliyopo mitandaoni kinafiki.
Ulichosema ni Ukweli mtupuKutokana na ubusy na kazi yangu mara nyingi nlijikuta si mtu ambaye nina muda wa kukaa na mwanamke au kumchunguza mwanamke.nlichelewa sana kuoa lakini pia hata kupata mtu wa kumwita mchumba maana nlisha date sana wanawake wa kila aina.
Nikatangaza natafuta mchumba JF na sifa nikaziweka hadharani.ile thread ipo humu.hapo ndo nlikuja kuchoka sana.
Asilimia kubwa ya wanawake waliomo humu ni Single Parents.
Asilimia kubwa nyingine ni waliotendwa
Asilimia kubwa nyingine ni walioshindikana uraiani
Asilimia kubwa nyingije ni wasio na mvuto kwa wanaume.
Asilimia kubwa nyingine ni walio desperate.
Pamoja na kuwa niliweka vigezo kwenye tangazo nlikuja kuonana au kutumiwa picha na watu ambao hawana hivyo vigezo.mpaka nikawa mawauliza ina maana hamkuelewa ile thread? Maana upeo wa mtu unaanzia hapo.
Wengi ni form four leavers na wengine wakapata certificate au diploma flani.but ni elimu ambayo haikuwasaidia maana unapowasiliana nao unagundua hawana uelewa mzuri.
Wenye watoto bila waume ni wengi na wengi hawana akili isipokuwa nilikutana na wawili ambao hawa walionesha wamejifunza kitu na wanataka kufanya maisha.niliwapenda wakawa marafiki hatukuzungumzia habari ya mapenzi tena.nikawaheshimu.
Wengine wengi kama saba walikuwa ni wanawake ambao wanaweza zalishwa tena wakaachwa.and trust me wengi wanachoandika humu ndo akili zao zilivyo hata nje ya jukwaa. Yaani ni hopeless sana.
Nlifurahi kupata wadada wawili ambao mmoja yupo mkoani na mwingine yupo hapa. Tulipeana namba za simu.tukawa marafiki sana hasa tukishirikishana katika bizinez.hawa wadada mmoja amebadili ID yake.huyu ni mdada mwenye akili anafanya biashara flani halali na anatumia JF KWA KUFAHAMIANA NA WANAUME WENYE AKILI.
Mwingine ameajiriwa na anafanya biashara tukawa tunapeana sana ushauri na kusaidiana ktk namna mbalimbali. Yeye hata ID yake aliyotumia humu nliisahau maana tukawa tunawasiliana kwa siku zaidi na si mchangiaji sana MMU.
Nikapata wanne ambao hawa ni makahaba. Wawili wapo mikoani wawili wapo dar.wa mikoani tulizoeana nami nlikuwa na lengo la kujua kama wanachoandika humu ni kitu halisi au ni kuigiza kama wengi wafanyavyo.mmoja wa mkoani alinitumia picha zake mpaka za uchi na nlizihifadhi sehemu.tulizoeana akanambia mengi sana.mpaka alio date humu JF. Huyu hakuniomba pesa
Mwingine wa mkoani tulizoeana sana.akawana ananitaka nimtembelee au nimlete dar.akanambia kama sitojal tutumiane picha.nlimtumia akanitumia.akanambia kama nitampa pesa atanitumia hata picha za uchi wake ili nione kama unafaa au siyo.ninayo namba yake mpaka leo.but ni mdada ambaye asilimia 99 ya thread zake ni abt sex. Alinambia alisoma certificate flan.ila mpaka muda huo hakuwa ameajiriwa.
Dar alikuwepo single parent/mother mwingine. Alinambia amesoma sehemu flani na anafanya kazi.but nlipokuja onana naye nlipata mtizamo mwingine.kuwa huyo dada anajiuza.hasa baada ya kuona rafiki zake kadhaa ambao mmoja jamaa yangu alinambia ashamnunua mara kadhaa bar mbili tofauti. Wazungu wnasema show me your friends i will tell your character
Kuna wadada na wakaka wenye kujiheshimu JF wachache sana na wengi huwapati sana MMU. Kuna wanawake walioolewa ila wana matatizo na ndoa zao. Wanakuja kushinda humu ili wapewe faraja na vijana wadogo kwa kusifiwa n.k
Hao pia nawafahamu. Kuna mengi nlikuwa najifunza na kuyaandikia kitabu from social media.so nlikuwa na sura tofaut tofaut kwa malengo tofaut tofaut.mimi umri wangu mkubwa.nina familia kwa sasa. Nawashauri vijana wa kike na wakiume.social media zina mambo mengi.
Dont think unaweza pata mwanamke serious huko. Wachache sana.wachache sana narudia. Asilimia kubwa ni wenye matatizo.mwanamke mwenye kujiheshimu hawezi shinda MMU 24/7 huo muda anachat na anajifunza nini?
Nikajaribu kumuunganisha mke wangu MMU (nlitaka kumpima uelewa wake) alisoma threads za watu kadhaa akasema yeye si wa daraja hilo.haoni jambo la maana huko.
Nlimshawishi sana.akanigomea kabisa .akablock id yake sasa anasoma tu majukwaa ya biashara,siasa,intellejensia n.k
Nachosema ni kuwa si mbaya mwanamke kusoma au "sometime" kuingia MMU lakini huwezi pata mwnamke SERIOUS anajibishana na watu huko. Huyo hafai. Nawaambia wadogo zangu kutokana na uzoefu wangu.nmewahi date wanawake wenye akili na kujifaham tabia zao zinafanana kwa kiasi kikubwa
Nimewah date wanawake wasio na uelewa nao hufanana na wengi nimewaona kwenye Jukwaa Hili. MMU. I am sorry kama ntakuwa nmewakwaza.ila naamini katika kuongea ukweli.
Wanawake wengi walioshindikana na kushindwa na maisha wapo humu.wanawake wengi wanaojiuuza wapo humu,wanawake ambao wameshindwa kwa wanaume wao wamo humu.
Mwanamke mwenye staha huwez mpata humu.na kama yupo ni mmoja katika 100. Utaona hata mchango wake na lugha anayotumia.utaona hata avatar anayotumia.
Nawashauri vijana tufanyeni kazi.binafsi napenda mwanamke smart sababu mwanamke mpumbavu ni hasara kwa wazazi wake,mume na hata taifa pia.
Nina umri mkubwa wa kutosha kuelewa mambo haya na elimu yangu imenisaidia kuweza ku fit mazingira mengi na watu wa aina tofauti tofaut.
Nmepasua jipu.wengi hamtapendezwa lakini nmesema ukweli watu waweze kupona.mods huu uzi haujamtaja mtu na upo kwa lengo la kushauriana so haina haja ya kuu delete sababu pengine umewakwaza na nyie. Nitasema ukweli daima.fitina kwangu mwiko.
Kutokana na ubusy na kazi yangu mara nyingi nlijikuta si mtu ambaye nina muda wa kukaa na mwanamke au kumchunguza mwanamke.nlichelewa sana kuoa lakini pia hata kupata mtu wa kumwita mchumba maana nlisha date sana wanawake wa kila aina.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wamebaki kuchungulia tu sledi hahaha
100%.....nyuzi km hizi, Uwe unaniita mapema mkuuu !!!Damn! Hahahaaa!
Hakika hii ni ya kufungia mwaka!