Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Juzi juzi nliandika uzi humu kuhusu jambo hili. Bro umelisema kama ambavyo nliliwazia kabisa. Mimi ni mmoja ya watu ambao wanavutiwa sana na nyuzi zako na aina yako ya uandishi. Ndo ulinifanya nijiunge JF na pia somebody Hanga kwa sasa.

Nmekutana na makahaba humu. Wapo na pia hata MASHOGA WAPO tena wengi sana. Hawa walikuwa wananifuata na kunishauri niachane mademu pasua kichwa kama vipi waniungnishe ni mtu anayeweza nipa raha mpka basi. Wamo humu mashoga. Wengi tu.
Uko nyuma wakat naandika sana nyuzi za mapenzi , walimiminika sana , Niliongeaga sana juu ya Mashoga wawili walonifata PM.


Tartizo nikisemaga...wanaona km natafuta umaarufu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nafurah kuona shuhuda km izi ni nyingi.
 
Braza wanawake wa humu 99% ni rejected..! Mimi nina mifano zaidi ya 10.

Mwenye tabia nzuri kalazimishwa na sura yake.

Mcha Mungu ni baada ya kulemewa na mzigo wa dhambi na masaibu yaliyomsibu (single mothers).

Wasomi wanaongozwa na umame/feminism na ulimbukeni.

Waliobaki wanaongozwa na tamaa na umaarufu uchwara, gurupu la mwisho ni wale wenye akili kiduchu.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukweli mtupu
 
Hahahaa ndo mimi, Nilifungua uzi wa wanawake makini JF ... Basi haooo Wakaja balaaa ndo wakaniita PUGI[emoji23][emoji23][emoji23]
......sikia mkuu, mimi ni mtu nayeamin Jino-Jino, alafu siamin ukiwa demu basi ndo umepewa funguo wa kuuzi lkn ww hutak kuuziwa

Kuna mmoja hapo, Naye akawa Ananiponda kichizii akati hata hanijui ,,, nikamwambia Wewe usifuate mkumbo , usifanye nikutafute .

Akasema ohooooooo Utanipata wapiiii.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmefanya manuva nmemjua A-Z , alafu anajitapa humu kua ni bongeeee la demu,zuri maneno meeeengi sanaaa

Kumbeee mamaaaaaaaaaa ni shida juu ya shida , ndo walewale

Nememuweka kwa kabrasha !!!

Dah!

Pole mazee.

Hilo jina linanichekeshaga sana.

Ila nawe una mavurugu mno.
 
Dah!

Pole mazee.

Hilo jina linanichekeshaga sana.

Ila nawe una mavurugu mno.
Hahahaha siku izi nmeacha Fujo,, Finally Mzee wangu amekuja kunambia. nisikae kutoa fujo kwa mwanamke mbele ya wanawake wenzake hata km kakosea maana wanawake watakaokutizama wengi wao watakuchukia naitakua ngumu kupata mwanamke akupende.


Tatizo, sheria za maisha yangu zilizopo kichwan, zimeshagoma kabisa kubadilika, kila mwanadam lazima aishiwe sawasawa iwe kwa uzuri au ubaya.
 
Hakuna kitu kizuri kama kumpata mwanamke mwenye akili,pia sijawah ona mwanamke mwenye akili akishinda humu mitandaoni zaidi utamuona anasoma issues za maisha au kazi yake basi kamaliza bundle lake
 
GuDume nisamehe nilikufananisha na binadamu mmoja ambaye ka join juzi anaitwa Luckime Kanitolea maneno ambayo hata Mods walipaswa kuyasoma. Msalimie my wife wako.
 
Back
Top Bottom