Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Uko nyuma wakat naandika sana nyuzi za mapenzi , walimiminika sana , Niliongeaga sana juu ya Mashoga wawili walonifata PM.Juzi juzi nliandika uzi humu kuhusu jambo hili. Bro umelisema kama ambavyo nliliwazia kabisa. Mimi ni mmoja ya watu ambao wanavutiwa sana na nyuzi zako na aina yako ya uandishi. Ndo ulinifanya nijiunge JF na pia somebody Hanga kwa sasa.
Nmekutana na makahaba humu. Wapo na pia hata MASHOGA WAPO tena wengi sana. Hawa walikuwa wananifuata na kunishauri niachane mademu pasua kichwa kama vipi waniungnishe ni mtu anayeweza nipa raha mpka basi. Wamo humu mashoga. Wengi tu.
Tartizo nikisemaga...wanaona km natafuta umaarufu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nafurah kuona shuhuda km izi ni nyingi.