Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Hahaaaaa, hatari ila ni kweli usemao. Tuendelee kunywa mtori, nyama tutazikuta chini.
 
Duuh asee
 
Ukweli mchungu, lakini ni tiba !! Binafsi nakushukuru kwa ujumbe mzito...nimejifunza makubwa!! Yamkini ni mhanga kwa kiasi chake katika tafutaji wa nani sahihi katika kuyaendeleza maisha !!!
Hongera mtoa somo.
 
 
 
dah mwanawane kama unakapoint vile. kumbe ndio maana nikiweka mambo ya mgegedo wanarukia....loh balaa hili but anyways wacha tuwagegede maana ndio raha ya dunia. kuoa tutaomba wazazi watutafutie.
Hahaha
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…