Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,805
- 17,850
Cku hizi hawapo, watu wanasoma udaktar na u-engineer sabab wana maksi nzur, na izo maksi nyng znapatikana st something huko.Big brains ni madaktar uko utawakuta Muhimbili, Makampuni ya Ujenzi uko , Ma IT .....hkl hajawah kua Big Brains kua Serious basi.
Pesa ndo kila kitu nowdays.