Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Wanawake wa jf wamekupata vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wanaotetea wanaume wa humu nao wamepagawa tu hawana akili labda ni kujipendekeza wawapige mizinga kama kawaida yao [emoji6],wanaume wenye tabia njema humu ni wa manati wengi wao tabia mbaya tu malaya,wanadanga,wanaume wengi ni mashoga sema wanaficha,halaf eti mtu atuone wanawake tuna tabia mbaya ,hebu Gudume abadili mashoga wawe na tabia nzuri waache ushoga ndio aje upande wetu huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muache mkuu ana machungu na singo mazaz na mimi namuelewa ndo maana tunaelewana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha wanavyoponda single mom utafikiri huko kwenye ukoo wao hakuna walozalishwa ,mtu haumizwi na single mom wa nyumbani kwao anaumizwa na sisi wa jf ambao hata hatuwategemei kwa lolote [emoji23][emoji23] halaf wengine wakiingia jf wanajisahau kama ni single mom ee maana comment zao bana wanajitoa kabisa[emoji23]

Hahahahahaa. Huyu Pablo inabidi tumuombee mwanamke aliemuumiza apate dhambi maana anamfanya kijana wa watu anaweweseka

Unajua mzigua,nikisema una stress utasema nawaponda single mother,mimi nimeweka msimamo wangu kwamba Kamwe siwezi kuoa single mother,Sasa hili Ni kosa??? Unataka unipangie mwanamke wa kuoa??? Kama kusema kuwa Mimi siwezi kuoa single mother Ni kosa,then utakuwa una matatizo yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nikisema mna stress utasema nawaponda single mother,mimi nimeweka msimamo wangu kwamba Kamwe siwezi kuoa single mother,Sasa hili Ni kosa??? Unataka unipangie mwanamke wa kuoa??? Kama kusema kuwa Mimi siwezi kuoa single mother Ni kosa,then utakuwa una matatizo yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pablo usikasirike bana leo sikukuu weweee

Happy newa year pablo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua mzigua,nikisema una stress utasema nawaponda single mother,mimi nimeweka msimamo wangu kwamba Kamwe siwezi kuoa single mother,Sasa hili Ni kosa??? Unataka unipangie mwanamke wa kuoa??? Kama kusema kuwa Mimi siwezi kuoa single mother Ni kosa,then utakuwa una matatizo yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi nimeongelea wewe kuoa singo mazaz Pablo? Unaona sasa? Hapo nani anakua na stress sasa? Mimi naongelea wewe kuwasakama singo mamaz na sio uwaoe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nikisema mna stress utasema nawaponda single mother,mimi nimeweka msimamo wangu kwamba Kamwe siwezi kuoa single mother,Sasa hili Ni kosa??? Unataka unipangie mwanamke wa kuoa??? Kama kusema kuwa Mimi siwezi kuoa single mother Ni kosa,then utakuwa una matatizo yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu leo mwaka mpya embu sherehekea alooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom