Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

 
 
Mkuu GuDume umeelezea vyema kabisaa, mitandaoni kuna shida kubwa sana hasa kwa hawa wenye hizi I'd za kike. Nilishawahi kufanya tafiti humu humu miaka ya 2011 hawa wenye I'd za kike mbele ya jukwaa ni bright sana lakini private ni giza kabisaa. 🀣🀣🀣

Mwaka 2023 na 2024 nilijaribu kufanya tena utafiti nilikuwa nakutana na watu wenye tabia za hovyo sana. Aisee kwa kweli hawa Dada zetu sijui wanapata wapi mkwamo wa akili?
 
πŸ˜ƒSawa tumesikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…