Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Leo umemwagika ukweli mtupu
Ila kwangu binafsi huwa sina ujasili wa kumtongoza demu wa jf huwa naona kama wengi wao ni wanausalama vile
Sijawahi kuwa na rafiki humu na naamini sijulikani kabisa
Matani ya hapa na pale kwa wadada huwa yapo ingawa huwa sizami sana ndani
Hata PM huwa nazichukulia poa sikomai nazo sana kivile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom