Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

We mshamba kweli kwa hiyo kila aliyeko Jf kaja kutafuta bwana?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mabwana wapi sasa?? Bwana kweli huwezi mkuta anaandikia utumbo mtoto wa kike. Yeye yuko anaangalia tu ujinga wa wavaa suruali wenzake. Huyo anaesema wanawake wa maana hawapo humu utakuta mama yake na dada zake wapo pia.
Huu ujasiri wa kuandika upumbavu sijui wanaupataga wapi wenzetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nitafute supu kwanzaa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ngoja nikuwezeshe best maana ilo tumbua laonekana si mchezo
20181231_083953.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom