Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Ule wimbo wa WANAWAKE WAZURI WAZURI WAMEOLEWA. YAMEBAKI MANUNGAYEMBE YANAHANGAIKA NANI ANAO?

nautafuta sana huo wimbo. Na wanaume ambao mpaka sasa hawajaoa wanaitwa MADUNGA YEMBE. Yaani hawa wana YADUNGA MANUNGA YEMBE.😂😂😂😂
 
Hahahahah toka nijiunge sijawahi kwenda pm kutongoza aiseee sinaga kujiamin kias hichooo khaaa mengine wanasingizia[emoji291][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Best kwa uzuri ule nilio kuona nao ukienda pm kwa mwanaume si unajipa mkosii best 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom