kubwalamaadui
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 328
- 51
Afu sasa alivokuwa shapeless.
Afu sasa alivokuwa shapeless.
jamanh mbona kakivaa sketi kanatokelezea au alisahau kuvaa skintait za mahips
Kazi ipo! Mna kazi ya kukosoa watu nyuma ya key board! Hebu vaeni na nyie hizo nguo tuwaone, wenye shepu ka kangaroo!! Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
angekua na shape kama yako kila mtu angetaka kwenda kununua hiyo gauni jinsi ambavyo ungeifanya ionekane nzuri.
hivi kumbe....aaaaah naelekea wapi tena
aaah naona majini sio majini ma shapeless deadly...Vipi kaka umepotea njia tukusadie direction?