Nisha aibu jaman

Nisha aibu jaman

kubwalamaadui

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
328
Reaction score
51
attachment.php



Ndio uvaaji gani huu jaman hauna hata mshauri ndugu yangu
 

Attachments

  • NISHA.jpg
    NISHA.jpg
    38.4 KB · Views: 2,911
gauni zuri hata rangi nzuri tatizo dada hana shepu wala damu ya nguo wengine hata wakivaa gunia wanapendeza jamani
 
jamanh mbona kakivaa sketi kanatokelezea au alisahau kuvaa skintait za mahips
 
hehe majanga sa na hiyo makeup alivyojiremba na macho makubwa duuuhh omg..sepetunga naee michirizi kama cjui nnn mastaa bongo nii jina tuh
 
hapana bwana halijampendeza tu na ni baya huyu dada ana shep nzur tu angalia movie zake
 
Acheni unafiki wenu limempendeza hilo gauni na limefunika hadi viatu, wakivaa nusu uchi mnatukana wakivaa nguo ndefu mara oooh wabongo bana.
 
Kazi ipo! Mna kazi ya kukosoa watu nyuma ya key board! Hebu vaeni na nyie hizo nguo tuwaone, wenye shepu ka kangaroo!! Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
Kazi ipo! Mna kazi ya kukosoa watu nyuma ya key board! Hebu vaeni na nyie hizo nguo tuwaone, wenye shepu ka kangaroo!! Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!

Hahaha!
Kama nduguyo kampe huo ujumbe.
Nguo haijampendeza.
Tusipende kusifia pale penye makosa.
Sawa ni ndefu,lakini si ya adabu cacico.
Cheki bra na nyama za nyongeza zote zipo nje.
Mfyuuuuu plus plus...!!!
 
Last edited by a moderator:
hivi kumbe....aaaaah naelekea wapi tena
 
mmmh? me sio muumbaji siwezi kukosoa shepu yake ila rangi nguo nimeipenda
 
Back
Top Bottom