Nisha awaumbua Ommy Dimpoz na Martin Kadinda

Mhhhh! Binamu kweli hiyo ni aibu.
Aisee sipati picha ilikuwaje!
Basi kuna uwezekano yule petit man nae akawa mchicha mwimba ndio maana mkewe haishi kulalamika.

Peti sijawah kusikia akifanya ujinga, labda awe anafanya kwa siri, ila martin jiji zima linamjua
 
Sasa mbona hujanipa ule umbea na wewe? Mwenzio ndio napiga umbea wa mwisho mwisho hivyoooo...
Ramadan hutoniona huku!
😎😎

Aisee kwahyo Ramadhani hatutakuona tuta kumiss mno aisee.
 
Sasa mbona hujanipa ule umbea na wewe? Mwenzio ndio napiga umbea wa mwisho mwisho hivyoooo...
Ramadan hutoniona huku!
😎😎

Kwani umbea dhambi jaman?
 
Haha jamaa kama wameweka fake basi sio wazima wanataka attention tu kwa kina dada. Bahati mbaya ni kama hii ya kikeke

Ya kikeke natural, imeanzia kati kati ya miguu.
Ya hao majamaa ni chini ya kitovu karibu kabisa na kiuno.
 
Nitakumiss mchizi wangu....

Waislamu na wakristo na wenyewe wanafki tu , ina maana kuna miezi ya kufanya maovu na miezi ya kuwa wema? Mxiuuu kama muovu muovu tu ata ufanyaje, umeamua kuwa mwema fanya mema siku zote sio mpaka sijui kwarezima na ramadhan, mi naona unafki tu,
 
Duh!wanaume tupo wachache ukilinganisha na wanawake ajabu tunazidi kupungua kwa kasi ya Ben Johnson.
 
Waislamu na wakristo na wenyewe wanafki tu , ina maana kuna miezi ya kufanya maovu na miezi ya kuwa wema? Mxiuuu kama muovu muovu tu ata ufanyaje, umeamua kuwa mwema fanya mema siku zote sio mpaka sijui kwarezima na ramadhan, mi naona unafki tu,

Binamu ushindwe na ulegee...
Na mimi hutoniona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…