Nisha awaumbua Ommy Dimpoz na Martin Kadinda

Nisha awaumbua Ommy Dimpoz na Martin Kadinda

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Baada ya wiki chache kupita toka msanii wa bongo fleva, ommy dimpozi, kupost picha kwenye ukurusa wake wa instagram, ikimuonyesha staa huyo akiwa amevaa suruali inayoonyesha kitu chenye muonekano kama maumbile ya kiume , picha iliyozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii, uku wengi wakimsifia staa huyo kwa kujaliwa na maumbile. Ata hivyo haikujulikana ni kwa nin staa huyo wa hit song ya wanjera aliamua kufanya kioja hicho.

Hivi karibuni tena , mwanamitindo na manager wa muigizaji Wema Sepetu aitwaye Martin Kadinda, alifanya kioja cha aina yake ambapo kama ilivyokuwa kwa Ommy Dimpozi, na yeye aliamua kupiga picha huku akiwa amevaa suruali iliyoonyesha kitu mfano wa maumbile ya kiume, hali iliyozua maswali ya sintofahamu.

Leo hasubuhi kupitia ukurasa wake wa Instagram, muigizaji na mchekeshaji maarufu bongo, Salma Jabu, maarufu kama Nisha , naye amepost picha ikimuonyesha amevaa surual inayoonyesha maumbile ya kiume wakati yeye ni mwanamke, hali iliyozua mijadala uku wengi wakidai mastaa hao(martin na ommy ) wanafanya mchezo huo mchafu wa kuweka vitu vinavyofanana na viungo vya kiume na kuwadanganya watu, kuwa ni maumbile yao, either kwa kutaka KICK au njia mojawapo ya kujitafutia wanawake kama ilivyo kwa mastaa wengi wa kike, wanavyo post picha instagram, ikiwaonyesha wana makalio makubwa ili wawavutie wanaume wakati sivyo walivyo, wengi wao wamekuwa wakitumia application maalumu ya kubadili maumbile yao.

Baadhi ya wadau mbali mbali wamewataka mastaa hao kuacha huo mchezo mara moja, licha ya kujishushia heshima zao, mastaa hao wametakiwa kuwa mstari wa mbele kukemea matendo yaliyo kinyume na maadili yetu na sio kuchochea maadili mabovu.
 
Attachments

  • 1433150349122.jpg
    1433150349122.jpg
    46.2 KB · Views: 3,443
  • 1433150404431.jpg
    1433150404431.jpg
    48.6 KB · Views: 2,932
Hayo yatakuwa ma dildo tu, na sijui hivo vitu wamevipata wapi maana maumbile yote yanaonekana kufanana, hadi ya nisha, mmh hawa mastaa kazi wanayo, bado kupost tu makalio yao na wenyewe, maana pesa imekua ngumu siku izi, watu wanatafuta njia mbadala
 
Mhhhh kumbe ndio maana binamu ulisema watakua wanaweka karoti au ndizi?
Uliona mbali aisee.

Ndio maana yake, maana at hayo maumbile yao yote yanafanana hadi ya nisha, kwa hyo unatka kusema nisha nae ana maumbile ya kiume? Hyo yatakuwa madildo tu, na wana kesi ya kujibu wameyatoa wapi? Loh kazi wanayo
 
Hawa majamaa wanazingua ukiangalia hayo madude yametoka usawa wa kitovuni na si katikati ya miguu

Haya mambo mnayajua wanaume, kama ndio hivyo siwezi kukataa.
Ila sasa kama sio maumbile yao kwanini wanatumia nguvu nyingi hivyo?
 
Haha jamaa kama wameweka fake basi sio wazima wanataka attention tu kwa kina dada. Bahati mbaya ni kama hii ya kikeke
 
Attachments

  • 1433151537477.jpg
    1433151537477.jpg
    53 KB · Views: 1,637
Ndio maana yake, maana at hayo maumbile yao yote yanafanana hadi ya nisha, kwa hyo unatka kusema nisha nae ana maumbile ya kiume? Hyo yatakuwa madildo tu, na wana kesi ya kujibu wameyatoa wapi? Loh kazi wanayo

Mhhhh, binamu huyu nisha nae kanitisha? Kama ni dildo hilo inamaana nae ni mkoboaji?
Kazi ipo.
 
Hawa majamaa wanazingua ukiangalia hayo madude yametoka usawa wa kitovuni na si katikati ya miguu

Yani halafu wote hawa wana scandal chafu, so walitaka kujisafisha tu na kick za kijinga, wamefeli mxiuuu
 
Mhhhhh, binamu hebu mchunguze vizuri akuambie kama jamaa ni mchicha mwiba kweli maana hua siamini sijui kwanini!

Ni kweli, anapendag wanaume wazur tu, na msumbufu hatar nasikia, akikupenda anakuganda hatar, kuna jamaa mmoja ivi mwanasheria ,martin akamtongoza, bahat mbaya msg zikafumwa na demu wake ambaye huyo demu alikuwa ni rafik wa martin kadinda, ilikuwaje aibu?
 
Haya mambo mnayajua wanaume, kama ndio hivyo siwezi kukataa.
Ila sasa kama sio maumbile yao kwanini wanatumia nguvu nyingi hivyo?

Hao wote wana scandal chafu, so wanajisafisha kwa watu
 
Mhhhh, binamu huyu nisha nae kanitisha? Kama ni dildo hilo inamaana nae ni mkoboaji?
Kazi ipo.

Hawa mastaa waone ivi ivi, wanafanya uchafu wa aibu ili wapate pesa za matanuzi ,mwisho wake ndo wanafirimbwa na kusagwa
 
Hilo ndio lengo lao hata m naona.

Yani walichokifanya ndio kimetupa majibu sasa, maana kama mwanaume rijali ata ukiambiwa shoga huwezi kuteteleka na kufanya upuuzi kama wao, mastaa wangapi wanaambiwa mash*ga? Wanafanyaga upuuzi kama wao? Yani apo ndo wamejithibitishia kuwa ndo wale wale
 
Ni kweli, anapendag wanaume wazur tu, na msumbufu hatar nasikia, akikupenda anakuganda hatar, kuna jamaa mmoja ivi mwanasheria ,martin akamtongoza, bahat mbaya msg zikafumwa na demu wake ambaye huyo demu alikuwa ni rafik wa martin kadinda, ilikuwaje aibu?

Mhhhh! Binamu kweli hiyo ni aibu.
Aisee sipati picha ilikuwaje!
Basi kuna uwezekano yule petit man nae akawa mchicha mwimba ndio maana mkewe haishi kulalamika.
 
Back
Top Bottom