Nisha awaumbua Ommy Dimpoz na Martin Kadinda

Nisha awaumbua Ommy Dimpoz na Martin Kadinda

Sasa mbona hujanipa ule umbea na wewe? Mwenzio ndio napiga umbea wa mwisho mwisho hivyoooo...
Ramadan hutoniona huku!
😎😎

Usisahau kutuaga kwa kutumention best
 
Mhhhhh, binamu hebu mchunguze vizuri akuambie kama jamaa ni mchicha mwiba kweli maana hua siamini sijui kwanini!

Maana yake nini hapo nifah, au hili nalo tusikuulize, manake leo una vimashart fulani hivi loooh
 
Last edited by a moderator:
Bado najiuliza inakuwaje mwanaume mzima kabisa na mwenye akili timamu kupiga picha ya vile? Kwanini wana jaribu kuwashawishi nini watu? Hivi mwanaume unaye jiamini kwanini unasumbuka kuwaaminisha watu?
 
mmmmh yule martin yuleee sijui kama kadinda kweli maana jamaa yuko kimchicha mchicha kabisa yani
 
Bado najiuliza inakuwaje mwanaume mzima kabisa na mwenye akili timamu kupiga picha ya vile? Kwanini wana jaribu kuwashawishi nini watu? Hivi mwanaume unaye jiamini kwanini unasumbuka kuwaaminisha watu?

Muda mwingine kukaa kimya kunaweza kukawa ni kuzuri zaidi, sasa hawa wameleta haya mambo yao, sasa ndio tunelewa ni watu wa aina gani
 
Muda mwingine kukaa kimya kunaweza kukawa ni kuzuri zaidi, sasa hawa wameleta haya mambo yao, sasa ndio tunelewa ni watu wa aina gani

Kwakweli matendo yao yanatia shaka kabisa....
 
Kweli Aisee...???? Hii mijamaa haina elimu kabisa....
 
Maana yake nini hapo nifah, au hili nalo tusikuulize, manake leo una vimashart fulani hivi loooh

Hahahahaaa wala sina masharti kihivyo ila pale tu ndio sikutaka kusema.
Mchicha mwiba maana yake ni gay.
 
Last edited by a moderator:
Waislamu na wakristo na wenyewe wanafki tu , ina maana kuna miezi ya kufanya maovu na miezi ya kuwa wema? Mxiuuu kama muovu muovu tu ata ufanyaje, umeamua kuwa mwema fanya mema siku zote sio mpaka sijui kwarezima na ramadhan, mi naona unafki tu,

Mxiiiiiiu zako binamu.Hutaki wenzio tukatubu? Maana wewe ile kwaresma tulikua wote huku tunapiga umbea mwanzo mwisho, mimi mwenzio hutoniona.
Acha nikayapunguze....
 
Mxiiiiiiu zako binamu.Hutaki wenzio tukatubu? Maana wewe ile kwaresma tulikua wote huku tunapiga umbea mwanzo mwisho, mimi mwenzio hutoniona.
Acha nikayapunguze....

Ninavyokujua wewe unavyopenda umbea sijui kama utaweza kuvumilia, tena nitakuwa natoa maumbea hot yale yani hakunaga
 
Kwa hiyo Nisha kamaanisha nini kufanya vileee hhhhaaa
 
Hayo yatakuwa ma dildo tu, na sijui hivo vitu wamevipata wapi maana maumbile yote yanaonekana kufanana, hadi ya nisha, mmh hawa mastaa kazi wanayo, bado kupost tu makalio yao na wenyewe, maana pesa imekua ngumu siku izi, watu wanatafuta njia mbadala

Hahahhaaaaa yan hili toto la kike tundu kwel mweh
 
Back
Top Bottom