Nisha awaumbua Ommy Dimpoz na Martin Kadinda

Nisha awaumbua Ommy Dimpoz na Martin Kadinda

Mhhhh, binamu huyu nisha nae kanitisha? Kama ni dildo hilo inamaana nae ni mkoboaji?
Kazi ipo.
No! Nadhani nisha, ni kawa kawajibu hao, kuwa madildo kila mtu anaweza kuweka. Ukiangalia kwa makini madhumuni hasa ya kuweka hayo madildo ni kuwapooaza watu na skendo a mchele, kwangu mimi imenifanya niamini kuwa huenda hawa jamaa sio rizki kweli, maana sio kwa kujihami huko.
 
Kiki nyingine za kiboya tu wengine sisi sio mastaa lakini tuna kiki za hatari mjini bila kujitangaza na skendo za kipuuzi
 
Back
Top Bottom