Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,508
For sure.Washamgeuza incubator
Eeeh bora tu angenyamaza.hata me nimehisi hivyo
Anapunguza machungu hapo,Sasa kama ni Siri atakayokufa nayo, kulikua kuna haja gani ya kutiririka hivyo.
Pathetic.
Na kama anahisi tutamuonea huruma, amechemka.Anapunguza machungu hapo,
Eeeh mbona ametokota. Maana ni ame-justify kwa nini wote wamemtelekeza. Watapimaga DNA wakijisikiaNa kama anahisi tutamuonea huruma, amechemka.
Kamera tu iyo wewe.Hee mbona mdada mzuri sana huyo kwanini kamkataa? Wanaume bwana.
Ina maana hao macelebrity wote wawili wanatembelea tubeless?!!Anajishaua tu huyu mtu mzima, huenda hata ye mwenyewe hajui mimba ni ya nani
AseeUkiona nje kuzuri lkn watu wakiingia hawakai wanatoka basi ujue ndani hakuna mvuto [emoji42]
Msanii Nisha kwa mara nyingine tena amepata title ya u 'single parent'...
Ni baada ya kupewa mimba na kisha kuachana na baby dady wa kijacho hiko bila hata kusubiri mrembo huyo ajifungue.....
Inasemekana lakini eti,inasemekana eti capital letter D hiyo yaweza kua imechorwa na 'zipu mbovu' a.k.a 'kisiki cha mpingo' Baraka da prince....
Ila Nisha kasema haina noma kama yule wa kwanza alimlea bila msaada wa baby dady, huyu ataanzaje kushindwa?...
View attachment 434468