Nisha Bebe alia tena

Nisha Bebe alia tena

She destinated to be single mom, aache kupiga kelele asonge mbele
 
Ukiyaweka maisha yako kirahisi utaishi kigumu sana....mchumia juani hulia......!!! wewe ulichumia kivulini sasa utaendelea kulia juani
 
Huyo nae ilikuwa womb for rent tumbo limekuwarented atulie isiwe maagano tena
 
Ukiona nje kuzuri lkn watu wakiingia hawakai wanatoka basi ujue ndani hakuna mvuto [emoji42]
 
Msanii Nisha kwa mara nyingine tena amepata title ya u 'single parent'...

Ni baada ya kupewa mimba na kisha kuachana na baby dady wa kijacho hiko bila hata kusubiri mrembo huyo ajifungue.....

Inasemekana lakini eti,inasemekana eti capital letter D hiyo yaweza kua imechorwa na 'zipu mbovu' a.k.a 'kisiki cha mpingo' Baraka da prince....

Ila Nisha kasema haina noma kama yule wa kwanza alimlea bila msaada wa baby dady, huyu ataanzaje kushindwa?...






89e0f1d26983b9f992701e0fa564e65c.jpg


View attachment 434468

Usanii tabu sana......... 😀 😀

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom