Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
- Thread starter
-
- #41
Si kitoto aseeUsanii tabu sana......... 😀 😀
[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
Si kitoto asee
Nisha gani unaesema mzuri?!Hee mbona mdada mzuri sana huyo kwanini kamkataa? Wanaume bwana.
Inawezekana muhusika akawa MpokiNgoja kitotoo kitoke cheusiii kama Baraka Da prince alafu tuone kama itaendelea kuwa siri unayoahidi kufa nayo.
Tunawaambia kila siku kuwa mwanamke sio sura,Sasa huwa wanataka nini kama mpaka wazuri wanawatema?
Au ndio si riziki tu kiasili?
hatuangalii uzuri tunaagalia papuchi na mengine ya kimienendoSasa huwa wanataka nini kama mpaka wazuri wanawatema?
Au ndio si riziki tu kiasili?