Nisha Bebe alia tena

Nisha Bebe alia tena

eboooo kama kugongwa uligongwa mwenyewe tena kwa siri mbona mambo ya mimba unakuja kutulilia sisi?!
 
Mtoto wa geodavid huyo safii jaza nchi babu yao nabii yupo atakusaidia kulea
 
Ashasema wako wawili so hakuna anayejua baba ni yupi kati yao na wanajuana.
So it means alikuwa ana wawili wanajuana kwa wakati mmoja
 
Wasela wametembelea ringi halafu wakasepa na kijiji.[emoji23][emoji23]alee tu hamna namna
 
Jiongezeni mashosti! Ucelebrity sio kutoa pussy kwa kila ducherere. Mtabaki kuwa ma-incubators!! Fainali uzeeni. Hayo ma- sabu wufa yakishagegeda na kumwaga "milk" hayana mpango. Kazi kwako ukifika miaka 30 na mkorogo umegoma, nyonyo tepetepe, na mbunye chapati! Utajua maharage sio mboga.
 
Sasa huwa wanataka nini kama mpaka wazuri wanawatema?
Au ndio si riziki tu kiasili?
Tunawaambia kila siku kuwa mwanamke sio sura,
Jaribu kukukuruka kitandani kama unang'atwa na siafu uone kama utaachwa, sio mnajilalia tu kama kiroba hadi ugeuzwe na ukigeuzwa unajamba, alafu eti usiachwe????
 
Back
Top Bottom