MarianaTrench
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,212
- 941
Ha ha ha haa, hata mbona na yenyewe mnaichepukia? Mtu akipata mwenye tabia nzuri basi ana limchepuko mcharuko.hatuangalii uzuri tunaagalia papuchi na mengine ya kimienendo
Uzuri wa gari ni engine sio body! Unaweza kuona gari nzuri engine mbovu inahitaji kufanyiwa overhaul .Hee mbona mdada mzuri sana huyo kwanini kamkataa? Wanaume bwana.
Sura nzuri tabia zeroHee mbona mdada mzuri sana huyo kwanini kamkataa? Wanaume bwana.
nimekuelewa sanaUkiona nje kuzuri lkn watu wakiingia hawakai wanatoka basi ujue ndani hakuna mvuto [emoji42]
umeenda hatua 100 nje ya madaMtoto wa geodavid huyo safii jaza nchi babu yao nabii yupo atakusaidia kulea
Siku hizi ni fashion kwa mama wenye mimba kupiga mapicha ya nusu uchi kuonyesha matumbo yao..... Hiki kitendo sijakuelewa mpaka Leo kuwa maana yake ni nini hasa..!!?Msanii Nisha kwa mara nyingine tena amepata title ya u 'single parent'...
Ni baada ya kupewa mimba na kisha kuachana na baby dady wa kijacho hiko bila hata kusubiri mrembo huyo ajifungue.....
Inasemekana lakini eti,inasemekana eti capital letter D hiyo yaweza kua imechorwa na 'zipu mbovu' a.k.a 'kisiki cha mpingo' Baraka da prince....
Ila Nisha kasema haina noma kama yule wa kwanza alimlea bila msaada wa baby dady, huyu ataanzaje kushindwa?...
View attachment 434468
Ivi mtu unaanzaje kukataa mtoto kwenye hali kama hiii au watu wanapenda utasaa waje wazikwe na vigunzi vya whts so ever nishe keep it u huyo alie kataa ni mbulula wa mwisho tena ni lofaaaaaa lakutupaaa.Kwa kweli