Nisha Bebe alia tena

Nisha Bebe alia tena

Inakuwaje unajikwaa sehemu mara mbili? Hatujifunzi, tunasahau au vichwa vibovu? kosa la aina moja likutokee marambili?
 
Msanii Nisha kwa mara nyingine tena amepata title ya u 'single parent'...

Ni baada ya kupewa mimba na kisha kuachana na baby dady wa kijacho hiko bila hata kusubiri mrembo huyo ajifungue.....

Inasemekana lakini eti,inasemekana eti capital letter D hiyo yaweza kua imechorwa na 'zipu mbovu' a.k.a 'kisiki cha mpingo' Baraka da prince....

Ila Nisha kasema haina noma kama yule wa kwanza alimlea bila msaada wa baby dady, huyu ataanzaje kushindwa?...






89e0f1d26983b9f992701e0fa564e65c.jpg


View attachment 434468
Siku hizi ni fashion kwa mama wenye mimba kupiga mapicha ya nusu uchi kuonyesha matumbo yao..... Hiki kitendo sijakuelewa mpaka Leo kuwa maana yake ni nini hasa..!!?
 
Hyo speed ya 350 alio nayo alitegemeq atafka salama
 
Hiyo mimba ni ya Kingwendu bhana asichanganye madesa hapa huyo dada shemeji yake Pembe na bwana Senga......
 
Bongo muvi kwa kiki yaani wako radhi hata kufanya lolote ilimrad waremain on top.

Me najiuliza huyo mtoto baadae atakuwa anajua kuwa mama alibakwa ndo yeye...
Mtoto wa Bao la kubakwa lakin yote kasababisha mama.
 
Back
Top Bottom