Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Hiyo ni mimba ya mume wa mtu anashindwa kusema,amebakwa ameshitaki wapi tunaomba RB na jina la mbakaji!sipendagi ujinga mimi!!Msanii wa Bongo Mobie Nisha amedai ana mimba inayotokana na kubakwa
anadai alibakwa kwa sababu mpenzi wake huyo alimrubuni kisha kumuingilia kwa nguvu, anaongezea hilo linaonekana ni jambo la kawaida kwa waafrika lakini kwa watu waliostaarabika ni kubakwa