Nisha wa Bongo Movie adai mimba aliyonayo ni kutokana na kubakwa

Nisha wa Bongo Movie adai mimba aliyonayo ni kutokana na kubakwa

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Msanii wa Bongo Mobie Nisha amedai ana mimba inayotokana na kubakwa.

Anadai alibakwa kwa sababu mpenzi wake huyo alimrubuni kisha kumuingilia kwa nguvu, anaongezea hilo linaonekana ni jambo la kawaida kwa waafrika lakini kwa watu waliostaarabika ni kubakwa.

 
Msanii wa Bongo Mobie Nisha amedai ana mimba inayotokana na kubakwa
anadai alibakwa kwa sababu mpenzi wake huyo alimrubuni kisha kumuingilia kwa nguvu, anaongezea hilo linaonekana ni jambo la kawaida kwa waafrika lakini kwa watu waliostaarabika ni kubakwa

Hiyo ni mimba ya mume wa mtu anashindwa kusema,amebakwa ameshitaki wapi tunaomba RB na jina la mbakaji!sipendagi ujinga mimi!!
 
Hilo ni kosa la jinai na yeye alivyomjinga anaona ni nafuu kusema alibakwa kuliko kugawa mechi kwa mshkaji mwingine, ana kosa la jinai, akamatwe mara moja amtaje aliyembaka na ajibu shtaka la kuficha kosa la jinai.
 
Huyu itakuwa hana kichaa cha mimba sio bure.

siku ile kasema vingine kuhusu hiyo mimba akiwahusisha Baraka da Prince na jamaa mwingine ambao wameingia mitini baada ya kujuana.

Leo anakuja na story nyingine...Au hii ni movie yake mpya ambayo ipi njiani kuingia sokoni?!
 
Ana tatzo hyu c bure, umkaribishe mwanaume kisha aondke bila kupiga jalamba ili akiondka uende instagram ukampe sifa za kaoge inahusu...?! Mwanaume huna undugu nae unakaa nae sehem ya faragha halafu.. mfyuuw!
 
Huyo kwa mimi nilivo iskiliza stori yake, nahisi alikuwa na jamaa yake waka achana sasa akapata jamaa mwingine lakini inaonekana kuna siku akagegedw na yule wa zamani(ki fupi ali mcheat huyu mpya) kilicho tokea ni mimba. Sasa inaonekana alivo gundua ana mimba aka muacha na huyu wa pili fasta (au aka achwa yeye) sasa hapa ana jibaraguza tuuu
Ila ni muhuni tuu uyo sista.
 
Unafiki tu na viuno ulikata,ukatoa ushirikiano..

Na utamu ukasikia teh

Umuite mwanaume mwenyewe home kwako af utegemee akuache hivi hivi....

Amebakwa au kajibakisha???
Kama asingetaka hayo yote yatokee asingeruhusu mazingira hayo hatarishi...
 
Kwanini asingeshitaki mpaka miezi 5 imepita. Alitaka mwenyewe huyo
 
Abakwe na nani zaidi ya yeye kubaka vijana wakishachoka n papuchi yke wanasepa,bongo movie hakuna ambae hachezi game za kuuza wote walewale
 
Back
Top Bottom