Nishaligalambua, watalaam msaada katika hili

Kama kawaida yangu na mambo yangu ya kukata maji sio ya mtoni wala bahalini

Kuna kahudumu flani siku moja nilikakuta kananyanyasika na mzozo mwingi maeneo yake ya Kazi

Katika maneno ya shombo nililo kalili ni moja (BAADA YA KUHONGWA WEWE WEWE UNAHONGA MPAKA ULIPE DEN LAKO NDIO UWE HURU)

Nikatumia fulsa sikutaka kujua nani anaemuhonga

Nikamuliza deni akaniambia elfu 60 nikampa kalipe

Akashukuru sana na kuniambia kuwa Mimi ni mtu muhimu sana kwake

Akamaliza kabisa na kuniambia wakati wowote nikiwa na shida nae nimwambie

Kwa maana toka aanze kufanya kazi hapo hajawai KUHONGWA

Kimbembe Leo siku Ile nilijikakamua kujionyesha Mimi sio mtu wakuendekeza mademu

Nimekuja bar kwake kwa confidence ya kutosha

Kwa kujua mtoto hageuzi picha linaanza mtoto nimekuta

Yuko bwax sikustuka sana nilijua kawaida nimetuma sms nyingi za ujio wangu

Hakuzijibu nilijipa moyo huenda sababu ya gambe

Simu yake namuona nae anapokea simu tu si sms hasomi

Nina mjomba angu (mpwa wangu) anasifa za umarioo

Wakati Mimi najipa moyo wenge likiisha nitaongea naye

Mjomba anaingia dada kakaa miguuni na mjomba kumuliza Kuna mtu yeyote kamsumbua

Akajibu kwenye simu hapana sijajua SMS kuna shost angu nimempa nikichukua utajua nani ananisumbua

Tunaheshimiana sana na mjomba Sasa Kuna mwenye kautalaam Cha kufuta sms

Zilizotumwa kwenye nyingine pasipo kuishika
Kwa maana sitaki mjomba angu asizione sms nilikuwa natumia haka kahudumu
60K zimeyeyuka hapo.

Hiyo hela ungemtumia Mama.yako ungebarikiwa sanq.
 
Wenzako hela tunaficha kwenye soksi na tunahesabu vizibo vya bia tusizidishiwe bill na hatutoi hela bila KUGALAMBUA
 
Nami nitakuwa nikifanya hivyo

Whatsapp ukiandika sms kama uliemtumia hajafungua unaweza kufuta

Je hizi sms za kawaida ukimtumia mtu kama hajafungua unaweza futa

Huo ndio msaada niliokuwa nikiutaka lakina jombaa kaziona sms

Na Mimi Kila ninacho uliza najibu sikumbuki

Kwa nikasikia kalewa uyo achana nayo
 
Kama kawaida yangu na mambo yangu ya kukata maji sio ya mtoni wala bahalini

Kuna kahudumu flani siku moja nilikakuta kananyanyasika na mzozo mwingi maeneo yake ya Kazi

Katika maneno ya shombo nililo kalili ni moja (BAADA YA KUHONGWA WEWE WEWE UNAHONGA MPAKA ULIPE DEN LAKO NDIO UWE HURU)

Nikatumia fulsa sikutaka kujua nani anaemuhonga

Nikamuliza deni akaniambia elfu 60 nikampa kalipe

Akashukuru sana na kuniambia kuwa Mimi ni mtu muhimu sana kwake

Akamaliza kabisa na kuniambia wakati wowote nikiwa na shida nae nimwambie

Kwa maana toka aanze kufanya kazi hapo hajawai KUHONGWA

Kimbembe Leo siku Ile nilijikakamua kujionyesha Mimi sio mtu wakuendekeza mademu

Nimekuja bar kwake kwa confidence ya kutosha

Kwa kujua mtoto hageuzi picha linaanza mtoto nimekuta

Yuko bwax sikustuka sana nilijua kawaida nimetuma sms nyingi za ujio wangu

Hakuzijibu nilijipa moyo huenda sababu ya gambe

Simu yake namuona nae anapokea simu tu si sms hasomi

Nina mjomba angu (mpwa wangu) anasifa za umarioo

Wakati Mimi najipa moyo wenge likiisha nitaongea naye

Mjomba anaingia dada kakaa miguuni na mjomba kumuliza Kuna mtu yeyote kamsumbua

Akajibu kwenye simu hapana sijajua SMS kuna shost angu nimempa nikichukua utajua nani ananisumbua

Tunaheshimiana sana na mjomba Sasa Kuna mwenye kautalaam Cha kufuta sms

Zilizotumwa kwenye nyingine pasipo kuishika
Kwa maana sitaki mjomba angu asizione sms nilikuwa natumia haka kahudumu
Mkuu UMELEWA BISHA HILO
 
Unaandika mbiombio inaonekana unaa Akili nyingi Sana.
 
Back
Top Bottom