Habari
Niwe muwazi mimi nishamuelewa huyu Kijana.. mwanzo nilihisi upwiru tu nikamtamani ila Sasa najihisi kumpenda..
Tumeshakulana zaidi ya mara moja na namuhitaji zaidi..
Sasa niwaambie ukweli huyu bro hajanitamkia kama anahitaji mahusiano na mimi kama vile tulivyozoea namna ya utongozaji wa mwanaume kwa mwanamke
Ni ile tu ananichombeza chombeza maneno mazuri mazuri na amefanikiwa kuniteka hisia zangu mpk tukaishia kukulana (Sijutii maana na mimi nilikuwa na hamu zangu)
Kilichonileta hapa nataka ushaurii haswa kwa wanaume ni kwa namna gani huyu mwanaume nitampata yaani ikiwezekana awe wangu najua atakuwa ana mahusiano yake labda seriously but mimi hilo halina shida kikubwa ni kuwa hajaoa na kama mtu hajaoa ni kama yuko single
Jamani mwanaume ambae yuko single Hakuna kila mtu yuko na mtu haijalishi ni mahusiano seriously au yakuzuga sasa mimi nimuache huyu kwasababu zipi wakati hajanitamkia kuwa ana mtu na hajaoa( hii ni 100%) kwasababu nimeshafanya ujasusi wangu hana mke Kijana
Sasa mimi nataka kulipambania hili husiano ikiwezekana liwe husiano kwelikweli uzuri ni kuwa ninampenda so sidhani kama nita mtreat vibaya….
Sijamtamkia kuwa nampenda lakini matendo nazani kashaelewa..
Nishaurini namna ya kufanya ili niendelee kumuweka upande wangu au niendelee na maisha yangu
Nb: Sijawahi kumlilia shida hata siku moja yaani sijawah kuzungumza maswala ya kuombaomba hela hata tukionana huwa natumia nauli yangu kumfuata.
Yeye ndio hunipa muda wa kuondoka anasema nitaongezea nauli… suala la hela sio tatizo kwangu kwa kuwa nishampenda