SoC03 NISHATI MIX-Mashine ya kuzalisha umeme pamoja na gesi kwa kutumia Plastiki na Uchafu unaooza

Stories of Change - 2023 Competition
Creativity
 
Serikali Ione jambo hili na kuongeza nguvu yake ili sekta ya nishati ikue huku ikiwa njia rafiki kwa mazingira
 
Serikali Ione jambo hili na kuongeza nguvu yake ili sekta ya nishati ikue huku ikiwa njia rafiki kwa mazingira
Hakika ni matumaini yangu kuwa Jambo hili litapokelewa na kutumika kama nilivyokusudia.
 
Hongera kwa hatua uliofikikia Bwana Laetus,

Kwa kuulizia zaidi kuhusu uchakataji huu hasa uchakataji wa plastiki kutoa output ya umeme, Je;

Plastiki itakuwa incinerated mpaka kiasi chote cha plastiki kitengeneze nishati!?

kama ndio,
Je; ni kwa nyuzi joto ngapi itatumika wakati wa incineration

Kama hapana,
Je; una namna ya kukusanya kiasi cha plastiki kitakachotoka kama waste (slag) kiweze kutumika kwenye matumizi mengine !?
 
Keep on brother
 
Hamna uchafu wowote unaptoka ndani ya mashine hii ,Kuna mifumo ya kuchuja na kuhakikisha hakuna uchafuzi wa mazingira .
End product ya plastic ni carbon black ambayo inaweza kutumika kwenye majiko ya mkaa ,na kutengeneza electrodes.
 
Iyo mashine unayo ni yako au ni wazo?
Kama ni yako kaa ukijua siku ukishinda kwa kudanganya watu JF watakwambia uthibitishe kwa kuja au kuwapeleka eneo ilipo iyo mashine utawapeleka??

Kama ni wazo..Sio wazo geni hii ni BIOGAS ambayo hata mshana aliandika uzi wake kwenye shindano la 2021 ambapo hata top 20 uzi haukuingia

Ujaeleza inatumia nguvu gani kujiesha..

Umeelezea faida..Hasara Zake JE

Usituchoshe sawa?
 
Mashine ipo ,na uthibitisho upo na haitumii biogas kama ulivyosema, ukihitaji kuiona unaweza kuja chuo kikuu Cha Dar es salaam au kwenye maonesho ya sabasaba(47th Dar es Salaam international trade Fair (DIFT) yanayoanza tarehe 28 mwezi huu mpaka tarehe 13 julai kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Trade Fair grounds Itakuwa kwenye banda la UDSM .Karibu sana.
 
Nicee
 
Really amazing for sure am interested taifa needs people kama ww kwa its prosperity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…