SoC03 NISHATI MIX-Mashine ya kuzalisha umeme pamoja na gesi kwa kutumia Plastiki na Uchafu unaooza

Stories of Change - 2023 Competition
Kweli kabisa ,kubadilisha attitudes za watu ni kazi moja kubwa zaidi kuelekea commercialization..Nawakaribisha investors pia kwa ajili ya scale up ya mradi.
 
Unaweza ipata kwenye page zetu mtandaoni ,au kwenye page ya ITV utaikuta (nishatimix)
Pia napenda kujua specifications za power output ya mashine yake. Inatoa kw ngapi za umeme au gas kiasi gani kwa dakika au saa?
 
Pia napenda kujua specifications za power output ya mashine yake. Inatoa kw ngapi za umeme au gas kiasi gani kwa dakika au saa?
Kuna models tatu...nishati plus(5kW) ,nishati mix (3kW )na nishati min (1kW)...specifically with varying engines .
 

Aisee
Utauuwa, inatosha, mwache

Nimewahi kufanya internship kwenye kiwanda kikubwa kinachozalisha umeme kwa kutumia takataka.
Kiwanda kilikuwa kikubwa ambacho malori ya uchafu yanapishana

Sasa kwa umbo la hiyo machine, kuweza kutoa nishati zote hizo pamoja na mabaki mbadala kama matofali ya mkaa, hata mabeberu wenye elimu yao tunayoisoma hawajafikia huko
Hatujaona ni wapi anaeleza ni nishati gani inatumika kubadilisha hizo takataka kuwa nishati mbabadala
Je ni umeme, au ni nini kinaendesha huo mtamba wake utakao weza kufikia au kupita 500 degree celcius mpaka kufanya mchakato wa pyrolysis utokee ?
Tunahitaji aje atupe jibu?
Na atuambie efficient yake tujue kama ina faida ya anachokisema

 
Asante kwa Maoni Yako Mr..
Naomba nianze kwa kukwambia kuwa hii ni new innovation na ipo kwenye stage ya testing ,hatufanyi kitu chenye kishafanywa na mtu na sisi tuna hatimiliki ya hii innovation ,na actually kinachokupa wasiwasi ndo power ya innovation hii kwasababu ni kitu kipya kwako na jamii kwa ujumla..
Pili kuhusu heat source ,Kuna employed system ya induction together with Biochars action kutokana na raw materials(blocks) ambazo hutoa steam to foster heating.
Kuhusu efficiency kwenye last update kwenye testing sites ,ipo 83%efficient ambayo tunategemea baada ya testing, last modifications itakuwa more efficient .
Lastly mradi huu umeanza 2020, prototype ya kwanza 2021 na upo chini ya uangalizi wa na ukaguzi wa chuo kikuu UDSM ...kama utakuwa na worries zaidi unaweza pitia social media zetu au fika katika banda la UDSM kwenye 47th DIFT (Sabasaba ) exhibition yanayoanza tarehe 28.
Karibu sana kwa Maoni zaidi !!
 
 
Big up to u
 
Kazi nzuri na jitihada nzuri, upatikanaji Wa uwezeshwaji kutoka Kwa Dola utasaidia jamii mahususi,; 👍👍 Big up Kwa jitihada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…