Deep fryer ya umeme ni nafuu zaidiWana JF habari,
Nina biashara yangu ya chips. Natumia mkaa kukaangia viazi na gas kuchomea chips, Nina mpango wa kununua gas deep fryer kwaajili ya kukaangia viazi. Swali ni je deep fryer ipi ni NAFUU kwa matumizi ya nishati yake(NB sio unafuu wa bei ya deep fryer) kati ya fryer ya umeme na gas, au niendelee tu na mkaa.
Wazoefu naomba ushauri au tag mzoefu anisaidie
Wana JF habari,
Nina biashara yangu ya chips.
"Natumia mkaa kukaangia viazi na gas kuchomea chips"
🖕🖕🖕 Naomba unieleweshe hiyo sentensi una maanisha nini
Huku masaki daslam tunatumia zaidi kuni...Naona wengi wanatumia gas mkuu
Masaki hawawezi kutumia kuni mzee!Huku masaki daslam tunatumia zaidi kuni...
Samahani mkuu....Masaki hawawezi kutumia kuni mzee!
TandahimbaSamahani mkuu....
Kwani unatokea kijijigani..🤭
Ebu njoo hapa Kitama karibu na Mtendi nikuambie jambo chap...🤭Tandahimba
Nakuja babu 💃🏽Ebu njoo hapa Kitama karibu na Mtendi nikuambie jambo chap...🤭
Acha kutudhalilisha wana Tandahimba we mzee! Tandahimba ni manispaa na siyo kijijini.Tandahimba
Nisomeeni tu siwataki radhi.Acha kutudhalilisha wana Tandahimba we mzee! Tandahimba ni manispaa na siyo kijijini.
We umetokea Katerero kijijini huko unaifananisha na Tandahimba? Tutake radhi la sivyo tutakusomea albadri.
Kila la kheri!!