Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Huu ni muendelezo wa Makala zangu za Kushauriana / Kuulizana na nyie Wadau.., Ni Nishati gani Safi ya Kupikia na ya Gharama nafuu kwa Mazingira ya Tanzania; Binafsi nikaja na jibu la Umeme na kuelezea kama hizo nyuzi mbili zinavyojieleza
www.jamiiforums.com
www.jamiiforums.com
Sasa katika pitapita zangu juzi mdau mmoja nilivyomwambia kuhusu umeme akasema umeme hautoshi (nikamwambia baada ya Bwawa capacity itaongezeka mara mbili na kama hautoshi kwanini tusiongeze) Akasema Umeme tunapanga kuuza nje..., Nikauliza sasa kwanini tuuze umeme nje ili tununue gesi nje ili tupikie badala ya kutumia umeme wetu kupikia..., Akasema si Taifa gesi ni ya Kwetu ya Mtwara..., Ndio hapo nikaona kuna watu hawajajua tofauti ya Gesi Asilia (Gesi ya Mtwara / Biogas ambayo ni Methane) na LPG (Mitungi ya Kina Taifa, Orxy n.k ambayo ni Propane)
Gesi Asilia / Biogas / Methane
Hii ndio ipo kule Mtwara na ndio gesi ambayo wewe unaweza kuwa nayo kama unamabaki ya chakula au kinyesi hata mtu akijamba (fart) ni hii gesi methane, kwahio theoretically hata kinyesi cha mtu kinaweza kuzalisha hii gesi tatizo la hii gesi ni vigumu sana kuicompress na hivyo kuisafirisha kama lpg hivyo ukisema uweke gesi hii kwenye mitungi kwanza itabidi uweke ndogo na utumie pressure kubwa sana kuweza kuiweka kwenye mtungi jambo ambalo litakula nishati nyingi na litakuwa hatari na gharama (mtungi itabidi uwe imara zaidi); Kuna Option nyingine ya kuibadilisha hii kuwa LNG yaani kuicompress kwenye ubaridi hadi kuwa kimiminika badala ya gesi na hili linafanyika kwenye nyuzi joto ndogo, lakini kwa kufanya hivyo kuna tija kama hio LNG utaiweka kwenye yale matanker (mameli makubwa) na kuipeleka sehemu kwenye uhaba wa nishati / gesi mfano Japan na ikifika kule wanairudisha katika gesi asilia na kuisambaza kwenye mabomba..., Sisi Tungejenga hayo Mabomba ingekuwa mwake ila ndio hivyo gharama na uzembe wetu hii naweza kuita itakuwa a Pipe Dream...
Gesi ya Mitungi LPG (Propane)
Katika uchimbaji wa Gesi asilia pia propane huwa inapatikana vilevile kwenye refining ya mafuta. Gesi hii kwa sisi Tanzania tunaagiza na mtengenezaji mkubwa wa hii gesi ni USA... ila kuna wazalishaji wengine wengi na hapo chini taweka bei ya hii LPG katika nchi tofauti...
Nishati Safi ya Kupikia, Mwarobaini tunao na ni Bora kuliko Gesi
Baada ya kuona kwenye Habari Serikali imeanzisha Mfuko wa Nishati Safi ya Kupikia nikaona ni vema tuangalie kwa nchi Yetu Nishati hio ni ipi na ni vipi itatufaa, ili tusije kuingia gharama ambazo zitakuwa hazina manufaa kwetu. Nishati zilizopo: Kwenye kila kaya aina ya Nishati inayotumiwa...
Nishati safi ya Kupikia – Gharama Nafuu (Kuanizia 0 Tshs)
Huu ni muendelezo wa Uzi wa Kuhoji Nishati gani kwa Tanzania ni Safi na Ina Uwezekano mkubwa kufanikiwa. Kwenye huu Uzi taelezea ni jinsi Gani Nishati hii Safi na Bora kuliko Gesi inaweza kuwa na Gharama mpaka ya 0 Kwa mtumiaji, Na hapo bila / kabla ya Serikali Kushuka Bei ya Units. Kwahio...