Nishati Safi ya Kupikia > (Tofauti ya Gesi Asilia (Methane) na Gesi ya Mitungi Majumbani (Propane)

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
15,460
Reaction score
24,233
Huu ni muendelezo wa Makala zangu za Kushauriana / Kuulizana na nyie Wadau.., Ni Nishati gani Safi ya Kupikia na ya Gharama nafuu kwa Mazingira ya Tanzania; Binafsi nikaja na jibu la Umeme na kuelezea kama hizo nyuzi mbili zinavyojieleza

Sasa katika pitapita zangu juzi mdau mmoja nilivyomwambia kuhusu umeme akasema umeme hautoshi (nikamwambia baada ya Bwawa capacity itaongezeka mara mbili na kama hautoshi kwanini tusiongeze) Akasema Umeme tunapanga kuuza nje..., Nikauliza sasa kwanini tuuze umeme nje ili tununue gesi nje ili tupikie badala ya kutumia umeme wetu kupikia..., Akasema si Taifa gesi ni ya Kwetu ya Mtwara..., Ndio hapo nikaona kuna watu hawajajua tofauti ya Gesi Asilia (Gesi ya Mtwara / Biogas ambayo ni Methane) na LPG (Mitungi ya Kina Taifa, Orxy n.k ambayo ni Propane)

Gesi Asilia / Biogas / Methane
Hii ndio ipo kule Mtwara na ndio gesi ambayo wewe unaweza kuwa nayo kama unamabaki ya chakula au kinyesi hata mtu akijamba (fart) ni hii gesi methane, kwahio theoretically hata kinyesi cha mtu kinaweza kuzalisha hii gesi tatizo la hii gesi ni vigumu sana kuicompress na hivyo kuisafirisha kama lpg hivyo ukisema uweke gesi hii kwenye mitungi kwanza itabidi uweke ndogo na utumie pressure kubwa sana kuweza kuiweka kwenye mtungi jambo ambalo litakula nishati nyingi na litakuwa hatari na gharama (mtungi itabidi uwe imara zaidi); Kuna Option nyingine ya kuibadilisha hii kuwa LNG yaani kuicompress kwenye ubaridi hadi kuwa kimiminika badala ya gesi na hili linafanyika kwenye nyuzi joto ndogo, lakini kwa kufanya hivyo kuna tija kama hio LNG utaiweka kwenye yale matanker (mameli makubwa) na kuipeleka sehemu kwenye uhaba wa nishati / gesi mfano Japan na ikifika kule wanairudisha katika gesi asilia na kuisambaza kwenye mabomba..., Sisi Tungejenga hayo Mabomba ingekuwa mwake ila ndio hivyo gharama na uzembe wetu hii naweza kuita itakuwa a Pipe Dream...

Gesi ya Mitungi LPG (Propane)
Katika uchimbaji wa Gesi asilia pia propane huwa inapatikana vilevile kwenye refining ya mafuta. Gesi hii kwa sisi Tanzania tunaagiza na mtengenezaji mkubwa wa hii gesi ni USA... ila kuna wazalishaji wengine wengi na hapo chini taweka bei ya hii LPG katika nchi tofauti...
 
Bei za LPG / Propane gesi ya Kwenye Mitungi tunayopikia Majumbani na Algeria ndio ilikuwa na bei ndogo kulingana na takwimu za 2023

Source: Liquefied petroleum gas - Wikipedia

LPG prices around the world[edit]​

Country/TerritoryUS$/L
(95 RON)
US$/US gallon
(95 RON)
Date of priceSources
Algeria0.06610.259 Mar 2023[16]
Angola0.19910.759 Mar 2023[17]
Saudi Arabia0.24010.919 Mar 2023[18]
Russia0.25610.979 Mar 2023[19]
Kyrgyzstan0.33711.289 Mar 2023[20]
Azerbaijan0.38211.459 Mar 2023[21]
Taiwan0.47511.809 Mar 2023[22]
Australia0.49811.899 Mar 2023[23]
Honduras0.50711.929 Mar 2023[24]
Peru0.50711.929 Mar 2023[25]
Belarus0.51911.979 Mar 2023[26]
Cambodia0.56712.159 Mar 2023[27]
Paraguay0.58312.219 Mar 2023[28]
Lithuania0.61712.349 Mar 2023[29]
Bulgaria0.62712.379 Mar 2023[30]
Turkey0.62812.389 Mar 2023[31]
Ukraine0.65112.469 Mar 2023[32]
Mongolia0.68012.579 Mar 2023[33]
Georgia0.68512.599 Mar 2023[34]
Albania0.69212.629 Mar 2023[35]
South Korea0.69412.639 Mar 2023[36]
Dominican Republic0.70212.669 Mar 2023[37]
Poland0.71912.729 Mar 2023[38]
Chile0.73312.789 Mar 2023[39]
Philippines0.77012.929 Mar 2023[40]
Estonia0.77212.929 Mar 2023[41]
Czech Republic0.79213.009 Mar 2023[42]
Bosnia And Herzegovina0.80613.059 Mar 2023[43]
India0.81913.109 Mar 2023[44]
Slovakia0.83613.169 Mar 2023[45]
San Marino0.83813.179 Mar 2023[46]
Latvia0.84113.189 Mar 2023[47]
Romania0.85713.249 Mar 2023[48]
Italy0.85913.259 Mar 2023[49]
Macedonia0.86113.269 Mar 2023[50]
Moldova0.86113.269 Mar 2023[51]
Belgium0.86813.299 Mar 2023[52]
Luxembourg0.87013.299 Mar 2023[53]
Netherlands0.88913.379 Mar 2023[54]
Lebanon0.90313.429 Mar 2023[55]
Serbia0.91013.459 Mar 2023[56]
Portugal0.91513.469 Mar 2023[57]
United Kingdom0.91713.479 Mar 2023[58]
Canada0.92813.519 Mar 2023[59]
Slovenia0.99313.769 Mar 2023[60]
Croatia1.02613.889 Mar 2023[61]
Israel1.03413.919 Mar 2023[62]
Hungary1.04313.959 Mar 2023[63]
Spain1.04913.979 Mar 2023[64]
France1.05313.999 Mar 2023[65]
Greece1.05714.009 Mar 2023[66]
Fiji1.06014.019 Mar 2023[67]
Switzerland1.14114.329 Mar 2023[68]
Germany1.15314.369 Mar 2023[69]
Sweden1.34515.099 Mar 2023[70]
 
Mkuu kabla hujafika mbali, hii inayotumuka kwenye magari siku hizi tunayojaza pale ubungo si Ni methane?
Mbona Ubungo wameweza kui compress?
Sina Nia mbaya chemistry yangu Ni ya form four.
 
Hapana kaka ni swali zuri kabisa..., kwenye magari hii gesi inakuwa compressed katika nyuzi joto la kawaida na kuendelea kubakia kuwa gesi...

Compressed natural gas (CNG) is essentially a methane gas mixture that has been compressed to a high pressure. Natural gas is typically compressed to 200 bar or 250 bar for use in vehicles.

At standard temperature and pressure, natural gas has a density of around 0.7 kg/m³ to 0.9 kg/m³ depending on the composition. This increases to around 180 kg/m³ (at 200 bar) and to around 215 kg/m³ (at 250 bar) for a typical methane-rich gas composition.

Uzuri wa Propane ni rahisi kuwa kimimika katika nyuzi joto la kawaida;
LPG needs only low pressure or refrigeration to change it into liquid from its gaseous state.

As a gas, LPG expands to 270 times its volume as a liquid. Therefore, it’s only logical that LPG is stored and transferred as a liquid, under pressure, in a gas bottle (e.g. propane tanks). LPG turns back into gas vapor when you release some of the pressure in the gas bottle by turning on your gas appliance.

Almost all of the uses for LPG involve the use of the gas vapor, not the liquefied gas. The LPG gas is ignited and burned to provide heat energy for various applications.

Kwenye magari inakuwa compressed na inabakia kuwa gesi wakati lpg (mitungi ya nyumbani)inakuwa compresed na kuwa kuwa kimiminika hivyo kuwa nyingi kwenye container dogo kwa pressure ndogo; ukitaka ufanye hayo kwa methane utahitaji pressure kubwa kuibadilisha kuwa kimiminika na temperature ndogo kutoka na relationship ya pressure, temperature na volume...; Pia utahitaji mitungi imara zaidi ya hii ya propane
 
Mkuu kabla hujafika mbali, hii inayotumuka kwenye magari siku hizi tunayojaza pale ubungo si Ni methane?
Mbona Ubungo wameweza kui compress?
Sina Nia mbaya chemistry yangu Ni ya form four.
Pia ukisema utumie hizo mitungi ya CNG kupikia utahitaji kwanza kupunguza pressure (kwahio utahitaji pressure regulator) na sababu itakuwa chache katika ujazo uleule sawa na lng kwahio utahitaji kununua nyingi zaidi kama mara tatu ya ungenunua LPG. na mtungi wako lazima uwe imara zaidi..., Kwahio utaona kwamba hii gesi ni raha sana kama ukitumia mabomba kutoka kwenye source mpaka mtumiaji hakuna hitaji la compression yoyote..., au kwenye magari ambayo refilling ya mara kwa mara sio kikwazo
 
Ahsante kwa elimu nzuri, ndugu nimeisoma nakala yako umeeleza vizuri sana.

Ila kwa faida ya wengi nitaomba kuongezea nyama kidogo juu ya mambo kadhaa.

Mtwara tuna gesi asilia aina ya methane ambayo ni organic compound yenye element ya carbon moja na element za hydrogen nne (CH4).

Gesi asilia aina ya Biogas ni ile inayotengenezwa majumbani kwa kuvundika masalia ya vyakula, mimea na venyesi vya Wanyama kwenye eneo lisilo na hewa ya oxygen (Biogas digester).

Ili tupikie gesi asilia ni lazima tutumie njia ya bomba. Ukisema utumie mtungi ni lazima uihifadhi kwenye mtungi ambapo ili ijae kwa ujazo mwingi unaohitaji tumeseme kilogram 11 utahitaji kuishindilia gesi asilia kwa pressure kubwa sana. Majiko ya gesi yanafanya kazi katika pressure ndogo.

LPG ni mchanganyiko wa compound za butane na propane.

Nipo katika sekta ya gesi tangu mwaka 2013.

Rejea za maandiko yanayo onyesha kiu ya kuchochea maendeleo katika sekta ya mafuta na gesi Tanzania.

1. Kuongeza Ufanisi na Kukuza Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania: Mapendekezo ya Kuanzisha Wizara ya Mafuta na Gesi

2. Kwanini hatuna Wizara ya mafuta na gesi kama mataifa mengine yenye gesi na mafuta

3. Tuunganishe nguvu tuwavutie wawekezaji kwenye haya maeneo ya mafuta na gesi tusiichie serikali pekee inatingwa

4. Vituo vya kujaza CNG kwenye magari vinavyotembea vitasaidia kujaza CNG kwenye magari kwenye mikoa mbalimbali

5. Kukabiliana na Changamoto za Upungufu wa Dola na Kuongezeka kwa Bei za Mafuta serikali ifanye mambo yafuatayo

6. Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini

7. Ni hatari sana bei ya mafuta ya taa ikiwa chini sana kuliko bei ya petroli na dizeli

8. Siasa za Gesi na Mafuta Tanzania: Uhusiano wa Gesi Asilia inayozalishwa Tanzania na sekta nyingine za kimkakati.

9. Tujenge kiwanda cha kuibadili gesi asilia kuwa petroli na dizeli

10. Siasa za Gesi na Mafuta Tanzania: Uhusiano wa Gesi Asilia inayozalishwa Tanzania na sekta nyingine za kimkakati.

11. Siasa za Mafuta na Gesi: Uzberkistan inaanza kuibadili gesi asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na gesi ya LPG

12. Tuache kudanganyana hakuna gesi iliyowahi kuuzwa na kusafirishwa kwa bomba kwenda nje ya Tanzania

13. Maeneo muhimu ambayo wataalamu wa Serikali wanapaswa kuzingatia wakati wa mazungumzo zidi makampuni ya mafuta na gesi

14. Maeneo muhimu ambayo serikali zetu zinapaswa kuzingatia wakati wa mazungumzo yao na makampuni ya mafuta ya mafuta na gesi

15. Serikali kuja na kifurushi cha gesi ya kupikia cha Sh 500 au 1,000 ili Mtanzania anunue gesi badala ya mkaa na kuni

16. Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) Ndiyo Mwarobaini wa Bei ya Mafuta Tanzania

17. Kukokotoa punguzo la bei ya mafuta ya petroli na dizeli kwa mwezi wa sita 2022 baada ya kuongezewa ruzuku ya billioni 100 (100B)

18. Mchanganuo wa bei za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa Mei 2022

19. Kama ulikuwa hujui hii ndio mikataba ya Utafutaji wa mafuta na gesi na ugawanaji mapato

20. An Open Letter to Her Excellency Dr. Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania

21. An Open Letter to President Dr. Samia Suluhu: Proposal for the Establishment of a High Education Graduates Bank (HEGB)

22. Barua ya wazi kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

23. Barua ya Wazi kwa Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dkt. Dotto Mashaka Biteko: Waagizaji wa Mafuta watumie Dhahabu kununua Mafuta Nje ya Nchi

24. SoC03 - Mwarobaini wa Tatizo la Upungufu wa Maji Jijini Dar es Salaam ni Serikali yenyewe: Jukumu la Serikali na Maazimio ya Kutatua Tatizo hilo

25. SoC03 - Ndoto ya asubuhi ya Watanzania ya kuwa na Tanzania ya uchumi wa gesi na madini imo mikononi mwa viongozi wa Taifa hili

26. SoC03 - Ni jinsi gani Viongozi wa sasa wanaweza kurejesha Tanzania ya Viwanda ya Mwalimu Nyerere?

27. SoC03 - Je, Serikali inawezaje Kuweka Msingi Bora kwa Vijana ili Kutengeneza Timu Bora ya Taifa itakayoweza kushiriki na kushinda michuano ya kimataifa?

28. Uhusiano wa Katiba Bora, ukuaji wa uchumi na hali ya maisha ya raia wa Tanzania

29. SoC03 - Mkopo maalumu kwa kila kijana kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania

30. Tufanye yafuatayo ili kuongeza ufanisi wa ukusanyaji wa mapato katika bandari yetu ya Dar es Salaam (TPA)

31. SoC03 - Faida za Kubinafsisha Bandari ya Dar es Salaam ni Nyingi. Lakini Changamoto Tatu (3) Zinapaswa Kudhibitiwa Ili Tuweze Nufaika Zaidi

32. Watanzania tusiogope bali tuwekeze. Kuna Fursa za biashara zenye faida katika sekta ya mafuta na gesi Katika Taifa letu

33.

34. Tujenge kiwanda cha kuibadili gesi asilia kuwa petroli na dizeli

35. Usiogope unaweza kujenga na kumiliki kituo cha kujaza mafuta ya vyombo vya moto vijijini cha gharama nafuu

36. Siasa ya Mafuta na Gesi: Kuibadili gesi asilia kuwa mafuta ya petroli inaweza punguza gharama tunazotumia kuagiza mafuta hayo kutoka mataifa ya nje

37. Barua ya wazi wa Waziri wa Kilimo: Matumizi ya gesi asilia kuzalishia mbolea za kilimo (UREA, NA, CAN, SA, PA, CAN, MAPS na DAP)

38. Tukiibadilisha Gesi Asilia (CH4) iliyopatikana Tanzania kuwa Mbolea za kilimo tutainua uchumi wa nchi

39. Ngoja nikupe mifano ya hesabu inayoeleza faida za kutumia mfumo wa gesi kwenye gari yako na jinsi utakavyo okoa fedha nyingi

Rejea za maandiko ya kuongeza mchango wa kukuza maarifa ya uhandisi na teknolojia ya mafuta na gesi duniani.

1. Nodal and least-cost analysis on the optimization of natural gas production system constraints to extend the plateau rate of a conceptual gas field.
Geoenergy Science and Engineering | Journal
https://www.sciencedirect.com/science/article/pii/S294989102300310X

2. Numerical Simulation of the Oil Production Performance of Different Well Patterns with Water Injection. Energies Journal

3. Equations governing fluid flow and transport in porous media and their applications in oil and gas production

4. Numerical Simulation of the Oil Production Performance of Di

5. Shu Jiang - Scilit

6. 概念ガス田のプラトー速度を拡大するための天然ガス生産システム制約の最適化に関するノードおよび最小コスト解析【JST・京大機械翻訳】 | 文献情報 | J-GLOBAL 科学技術総合リンクセンター

Mawasiliano:
Email: tsha87916@gmail.com
 
Tena hapa mimi natafuta mjadala ili tufikia hitimisho ingawa mimi sio gwiji kwenye hii tasnia ila haiitaji kuwa kuku ili kugundua yai viza.., ndio maana mpaka dakika hii sijapata mtu wa kunielimisha iweje LPG ndio ipigiwe chapuo wakati binafsi naona kuna nishati bora zaidi kwa mazingira yetu ?
Ili tupikie gesi asilia ni lazima tutumie njia ya bomba. Ukisema utumie mtungi ni lazima uihifadhi kwenye mtungi ambapo ili ijae kwa ujazo mwingi unaohitaji tumeseme kilogram 11 utahitaji kuishindilia gesi asilia kwa pressure kubwa sana. Majiko ya gesi yanafanya kazi katika pressure ndogo.
Tena nadhani suala ingekuwa ni majiko pekee basi watu wangetumia pressure regulator..., tatizo kubwa zaidi its not worth it ili kupata ujazo sawa na LPG utahitaji kutumia nishati kubwa zaidi kuweza kubadilisha hio gesi na mtungi imara zaidi mwisho wa siku utajikuta unatumia gharama zaidi kutengeneza hatari..., busara hapa ni kutumia gesi hii kama CNG kwenye magari kwa kupeleka mabomba mpaka kwenye hivyo vituo, sababu tukisema tutengeneze miundombinu kama ulaya yaani kama mabomba ya maji hio ni Pipe Dream wala hatuna huwezi na miji yetu ni squatter haijapangika,

Nipo katika sekta ya gesi tangu mwaka 2013.
Sasa kama upo kwenye industry ndio nyie nawatafuta sana muweze kunipa elimu..., Je Nimekosea hapo chini ?
Rejea za maandiko yanayo onyesha kiu ya kuchochea maendeleo katika sekta ya mafuta na gesi Tanzania.

9. Tujenge kiwanda cha kuibadili gesi asilia kuwa petroli na dizeli
Moja hii gesi ni ya kwetu kiasi gani au percent ngapi isijekuwa tunajenga viwanda kuwanufaisha watu.., Mbili kwanini tubadilishe hii iwe petroli wakati tunaweza kutumia magari CNG moja kwa moja..., Kwanini tubadilishe hii iwe petroli wakati watu wanawaza kuamia kwenye umeme (najua sio leo wala kesho) lakini investment hii sio lelemama kwahio kuwekeza huko ni kama kucheza kamari....

Ila kabla hatujafika huko kwanini tutumie LPG na kuipiga chapuo wakati tuna vyanzo vingine ?
 
Ahsante kwa elimu nzuri, ndugu nimeisoma nakala yako umeeleza vizuri sana.

Ila kwa faida ya wengi nitaomba kuongezea nyama kidogo juu ya mambo kadhaa.

Mtwara tuna gesi asilia aina ya methane ambayo ni organic compound yenye element ya carbon moja na element za hydrogen nne (CH4).

Gesi asilia aina ya Biogas ni ile inayotengenezwa majumbani kwa kuvundika masalia ya vyakula, mimea na venyesi vya Wanyama kwenye eneo lisilo na hewa ya oxygen (Biogas digester).

Ili tupikie gesi asilia ni lazima tutumie njia ya bomba. Ukisema utumie mtungi ni lazima uihifadhi kwenye mtungi ambapo ili ijae kwa ujazo mwingi unaohitaji tumeseme kilogram 11 utahitaji kuishindilia gesi asilia kwa pressure kubwa sana. Majiko ya gesi yanafanya kazi katika pressure ndogo.

LPG ni mchanganyiko wa compound za butane na propane.

Nipo katika sekta ya gesi tangu mwaka 2013.

Rejea za maandiko yanayo onyesha kiu ya kuchochea maendeleo katika sekta ya mafuta na gesi Tanzania.

1. Kuongeza Ufanisi na Kukuza Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania: Mapendekezo ya Kuanzisha Wizara ya Mafuta na Gesi

2. Kwanini hatuna Wizara ya mafuta na gesi kama mataifa mengine yenye gesi na mafuta

3. Tuunganishe nguvu tuwavutie wawekezaji kwenye haya maeneo ya mafuta na gesi tusiichie serikali pekee inatingwa

4. Vituo vya kujaza CNG kwenye magari vinavyotembea vitasaidia kujaza CNG kwenye magari kwenye mikoa mbalimbali

5. Kukabiliana na Changamoto za Upungufu wa Dola na Kuongezeka kwa Bei za Mafuta serikali ifanye mambo yafuatayo

6. Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini

7. Ni hatari sana bei ya mafuta ya taa ikiwa chini sana kuliko bei ya petroli na dizeli

8. Siasa za Gesi na Mafuta Tanzania: Uhusiano wa Gesi Asilia inayozalishwa Tanzania na sekta nyingine za kimkakati.

9. Tujenge kiwanda cha kuibadili gesi asilia kuwa petroli na dizeli

10. Siasa za Gesi na Mafuta Tanzania: Uhusiano wa Gesi Asilia inayozalishwa Tanzania na sekta nyingine za kimkakati.

11. Siasa za Mafuta na Gesi: Uzberkistan inaanza kuibadili gesi asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na gesi ya LPG

12. Tuache kudanganyana hakuna gesi iliyowahi kuuzwa na kusafirishwa kwa bomba kwenda nje ya Tanzania

13. Maeneo muhimu ambayo wataalamu wa Serikali wanapaswa kuzingatia wakati wa mazungumzo zidi makampuni ya mafuta na gesi

14. Maeneo muhimu ambayo serikali zetu zinapaswa kuzingatia wakati wa mazungumzo yao na makampuni ya mafuta ya mafuta na gesi

15. Serikali kuja na kifurushi cha gesi ya kupikia cha Sh 500 au 1,000 ili Mtanzania anunue gesi badala ya mkaa na kuni

16. Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) Ndiyo Mwarobaini wa Bei ya Mafuta Tanzania

17. Kukokotoa punguzo la bei ya mafuta ya petroli na dizeli kwa mwezi wa sita 2022 baada ya kuongezewa ruzuku ya billioni 100 (100B)

18. Mchanganuo wa bei za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa Mei 2022

19. Kama ulikuwa hujui hii ndio mikataba ya Utafutaji wa mafuta na gesi na ugawanaji mapato

20. An Open Letter to Her Excellency Dr. Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania

21. An Open Letter to President Dr. Samia Suluhu: Proposal for the Establishment of a High Education Graduates Bank (HEGB)

22. Barua ya wazi kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

23. Barua ya Wazi kwa Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dkt. Dotto Mashaka Biteko: Waagizaji wa Mafuta watumie Dhahabu kununua Mafuta Nje ya Nchi

24. SoC03 - Mwarobaini wa Tatizo la Upungufu wa Maji Jijini Dar es Salaam ni Serikali yenyewe: Jukumu la Serikali na Maazimio ya Kutatua Tatizo hilo

25. SoC03 - Ndoto ya asubuhi ya Watanzania ya kuwa na Tanzania ya uchumi wa gesi na madini imo mikononi mwa viongozi wa Taifa hili

26. SoC03 - Ni jinsi gani Viongozi wa sasa wanaweza kurejesha Tanzania ya Viwanda ya Mwalimu Nyerere?

27. SoC03 - Je, Serikali inawezaje Kuweka Msingi Bora kwa Vijana ili Kutengeneza Timu Bora ya Taifa itakayoweza kushiriki na kushinda michuano ya kimataifa?

28. Uhusiano wa Katiba Bora, ukuaji wa uchumi na hali ya maisha ya raia wa Tanzania

29. SoC03 - Mkopo maalumu kwa kila kijana kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania

30. Tufanye yafuatayo ili kuongeza ufanisi wa ukusanyaji wa mapato katika bandari yetu ya Dar es Salaam (TPA)

31. SoC03 - Faida za Kubinafsisha Bandari ya Dar es Salaam ni Nyingi. Lakini Changamoto Tatu (3) Zinapaswa Kudhibitiwa Ili Tuweze Nufaika Zaidi

32. Watanzania tusiogope bali tuwekeze. Kuna Fursa za biashara zenye faida katika sekta ya mafuta na gesi Katika Taifa letu

33.

34. Tujenge kiwanda cha kuibadili gesi asilia kuwa petroli na dizeli

35. Usiogope unaweza kujenga na kumiliki kituo cha kujaza mafuta ya vyombo vya moto vijijini cha gharama nafuu

36. Siasa ya Mafuta na Gesi: Kuibadili gesi asilia kuwa mafuta ya petroli inaweza punguza gharama tunazotumia kuagiza mafuta hayo kutoka mataifa ya nje

37. Barua ya wazi wa Waziri wa Kilimo: Matumizi ya gesi asilia kuzalishia mbolea za kilimo (UREA, NA, CAN, SA, PA, CAN, MAPS na DAP)

38. Tukiibadilisha Gesi Asilia (CH4) iliyopatikana Tanzania kuwa Mbolea za kilimo tutainua uchumi wa nchi

39. Ngoja nikupe mifano ya hesabu inayoeleza faida za kutumia mfumo wa gesi kwenye gari yako na jinsi utakavyo okoa fedha nyingi

Rejea za maandiko ya kuongeza mchango wa kukuza maarifa ya uhandisi na teknolojia ya mafuta na gesi duniani.

1. Nodal and least-cost analysis on the optimization of natural gas production system constraints to extend the plateau rate of a conceptual gas field.
Geoenergy Science and Engineering | Journal
https://www.sciencedirect.com/science/article/pii/S294989102300310X

2. Numerical Simulation of the Oil Production Performance of Different Well Patterns with Water Injection. Energies Journal

3. Equations governing fluid flow and transport in porous media and their applications in oil and gas production

4. Numerical Simulation of the Oil Production Performance of Di

5. Shu Jiang - Scilit

6. 概念ガス田のプラトー速度を拡大するための天然ガス生産システム制約の最適化に関するノードおよび最小コスト解析【JST・京大機械翻訳】 | 文献情報 | J-GLOBAL 科学技術総合リンクセンター

Mawasiliano:
Email: tsha87916@gmail.com
Hivi hawa wizara ya nishati hawakuoni wakutumie kwa manufaa
Jamaa una kitu cha ziada na inaonekana una Passion na Haya maswala
God bless you dude!
 
Amen boss.
Sasa mdau wa Industry unaweza kuniambia kwanini tunadhani LPG ndio mkombozi wa Tanzania ? Na je kuna Nishati inaweza kuipuku umeme katika opportunity cost na practicability at the moment ?
 
Amen boss.
Mdau wa industry nilikuwa natafuta Data unaweza kujua hii LPG mpaka tukishaagiza na kungia bandarini in bulk huwa lita moja inacost kiasi gani na pia costs of storage na filling costs as well as transportation costs ?

Sababu bila kujua gharama ni kiasi gani ni vigumu watu baki kulalamika kwamba ipo juu huenda mdau mwagizani pesa anyopata per unit ni ndogo na punguzo lolote popote huenda asi-break even na kupelekea pesa tunazokamuliwa kumfudia.....

Nasubiri majibu Mdau....
 
mmexport1730439845473.jpg
 
Huu ni muendelezo wa Makala zangu za Kushauriana / Kuulizana na nyie Wadau.., Ni Nishati gani Safi ya Kupikia na ya Gharama nafuu kwa Mazingira ya Tanzania; Binafsi nikaja na jibu la Umeme na kuelezea kama hizo nyuzi mbili zinavyojieleza

Sasa katika pitapita zangu juzi mdau mmoja nilivyomwambia kuhusu umeme akasema umeme hautoshi (nikamwambia baada ya Bwawa capacity itaongezeka mara mbili na kama hautoshi kwanini tusiongeze) Akasema Umeme tunapanga kuuza nje..., Nikauliza sasa kwanini tuuze umeme nje ili tununue gesi nje ili tupikie badala ya kutumia umeme wetu kupikia..., Akasema si Taifa gesi ni ya Kwetu ya Mtwara..., Ndio hapo nikaona kuna watu hawajajua tofauti ya Gesi Asilia (Gesi ya Mtwara / Biogas ambayo ni Methane) na LPG (Mitungi ya Kina Taifa, Orxy n.k ambayo ni Propane)

Gesi Asilia / Biogas / Methane
Hii ndio ipo kule Mtwara na ndio gesi ambayo wewe unaweza kuwa nayo kama unamabaki ya chakula au kinyesi hata mtu akijamba (fart) ni hii gesi methane, kwahio theoretically hata kinyesi cha mtu kinaweza kuzalisha hii gesi tatizo la hii gesi ni vigumu sana kuicompress na hivyo kuisafirisha kama lpg hivyo ukisema uweke gesi hii kwenye mitungi kwanza itabidi uweke ndogo na utumie pressure kubwa sana kuweza kuiweka kwenye mtungi jambo ambalo litakula nishati nyingi na litakuwa hatari na gharama (mtungi itabidi uwe imara zaidi); Kuna Option nyingine ya kuibadilisha hii kuwa LNG yaani kuicompress kwenye ubaridi hadi kuwa kimiminika badala ya gesi na hili linafanyika kwenye nyuzi joto ndogo, lakini kwa kufanya hivyo kuna tija kama hio LNG utaiweka kwenye yale matanker (mameli makubwa) na kuipeleka sehemu kwenye uhaba wa nishati / gesi mfano Japan na ikifika kule wanairudisha katika gesi asilia na kuisambaza kwenye mabomba..., Sisi Tungejenga hayo Mabomba ingekuwa mwake ila ndio hivyo gharama na uzembe wetu hii naweza kuita itakuwa a Pipe Dream...

Gesi ya Mitungi LPG (Propane)
Katika uchimbaji wa Gesi asilia pia propane huwa inapatikana vilevile kwenye refining ya mafuta. Gesi hii kwa sisi Tanzania tunaagiza na mtengenezaji mkubwa wa hii gesi ni USA... ila kuna wazalishaji wengine wengi na hapo chini taweka bei ya hii LPG katika nchi tofauti...
AGIZA GESI YA KUPIKIA HAPOHAPO ULIPO USIONDOKE KAA HAPOHAPO MTAANI KWAKO
Gesi zote zipo: Oryx Gas, Taifa Gas, Manjis Gas, O-Gas, Total Gas, Mihan Gas, na Puma Gas: zote zinapatikana hapo
 
Back
Top Bottom