Gwangzu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2017
- 2,457
- 3,818
Ikiwa utaweka nia na ku-dedicate
muda wako kujifunza na kufikiri
ni applications gani waweza
tengeneza na kufanikisha.
Waweza jikuta unauaga
umasikini bila kutarajia, kwani
wapo vijana wengi sana ambao
wanaingiza maelfu ya dola za
kimarekani kwa kutumia
application za android
walizoziweka kwenye google play store sasa hata wewe haujachelewa kwanza unatakiwa kusomea java zipo njia nyingi za kusomea java siompaka uende shule hapana unaweza kusoma online
Kitu cha pili unatakiwa kuwa na computer na simu ya android
Kitu cha tatu unatakiwa kuwa ume download application husika kama vile android studio nk. Sasa naomba kama kuna ma-deverloper mtakuwa mmeshanielewa sasa tuanze ku code sasa
Kabla ya kuanza ku-code nishaulini tuanze ku-design app inayousu nini kisha nianze ku-design sasahivi kisha niiweke playstore ndani ya dakika kumi na tano haya wekeni kura zenu