nishaulini ni-design app ya namnagani niitengeneze sasa hivi kisha niitupie playstore

nishaulini ni-design app ya namnagani niitengeneze sasa hivi kisha niitupie playstore

Gwangzu

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2017
Posts
2,457
Reaction score
3,818
Ikiwa utaweka nia na ku-dedicate
muda wako kujifunza na kufikiri
ni applications gani waweza
tengeneza na kufanikisha.
Waweza jikuta unauaga
umasikini bila kutarajia, kwani
wapo vijana wengi sana ambao
wanaingiza maelfu ya dola za
kimarekani kwa kutumia
application za android
walizoziweka kwenye google play store sasa hata wewe haujachelewa kwanza unatakiwa kusomea java zipo njia nyingi za kusomea java siompaka uende shule hapana unaweza kusoma online
Kitu cha pili unatakiwa kuwa na computer na simu ya android
Kitu cha tatu unatakiwa kuwa ume download application husika kama vile android studio nk. Sasa naomba kama kuna ma-deverloper mtakuwa mmeshanielewa sasa tuanze ku code sasa
Kabla ya kuanza ku-code nishaulini tuanze ku-design app inayousu nini kisha nianze ku-design sasahivi kisha niiweke playstore ndani ya dakika kumi na tano haya wekeni kura zenu
 
tengeneza app ya mtu kuweza ku view sms za wasap za mtu wa simu nyingine na iwe user friendly like labda ukiweka namba ya huyo mtu unayetaka kusoma sms zake mara pwaaa zinakuja utauza vibayo mno
 
Ikiwa utaweka nia na ku-dedicate
muda wako kujifunza na kufikiri
ni applications gani waweza
tengeneza na kufanikisha.
Waweza jikuta unauaga
umasikini bila kutarajia, kwani
wapo vijana wengi sana ambao
wanaingiza maelfu ya dola za
kimarekani kwa kutumia
application za android
walizoziweka kwenye google play store sasa hata wewe haujachelewa kwanza unatakiwa kusomea java zipo njia nyingi za kusomea java siompaka uende shule hapana unaweza kusoma online
Kitu cha pili unatakiwa kuwa na computer na simu ya android
Kitu cha tatu unatakiwa kuwa ume download application husika kama vile android studio nk. Sasa naomba kama kuna ma-deverloper mtakuwa mmeshanielewa sasa tuanze ku code sasa
Kabla ya kuanza ku-code nishaulini tuanze ku-design app inayousu nini kisha nianze ku-design sasahivi kisha niiweke playstore ndani ya dakika kumi na tano haya wekeni kura zenu
Mkuu mi nnaushauri ila njoo pm siwez kuweka hapa
 
Kuandika kwenyewe hujui ndio utengeneze app?
 
Kuandika kwenyewe hujui ndio utengeneze app?
Hofu kubwa pale kwenye KKK, yaan zaman ilikua kabla hujaenda darasa la pili ni lazima ujue irabu na silabi, huyu mtengenezaji wa app ya playstore tunamashaka nae huenda umri ulikua umemuacha au mzaz wake alikua rafiki wa Mwl ndo maana akavukishwa darasa.
 
Back
Top Bottom