Chungu cha bibi
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 525
- 166
Kwanza ujiulize ndoto zako ni zipi na mara baada ya kumaliza chuo unataka kufanya mambo gani baada ya hapo utapata msimo wako wa kozi ipi unadhani kwako ni nzuri ili watakapokuja watu kutoa comment zao na wewe unakuwa na base ya kuchangia ili kuepusha kukuacha kwenye dilemma na kukuchanganya (ngoja waje nina imani baada ya michango yao utafika hatua ya kufanya maamuzi)
Habari Zenu Wana Jf......
Ni Hivi Basi Zikiwa zimebaki Siku Mbili Kabla Ya deadline Ya Kutoma Maombi Tcu Nlkua Nahitaji Ushauri Wenu Sana,Hasa Waliopo Chuo Au Waliokwishaa Maliza Hii Elimu...Nmemaliza Kidato cha sita mwaka Huu Kwenye PCM Nina CBC yaan 3-11..Oneni kozi Nilizochaguaa Je Niache Hvyo Hvyo Au Ipi Ikae Juu Ya Mwenzake Au Ipi Haipo Hapo Niongeze Kwa Kutumiaa Uzoefu Wako Wa Chuo Cha muhimu Ni Kupata chuo Na kozi Ambayo Ipo Marketable Kwa Marks Zangu....
1:Geomatics-Ardhi
2:Civil-DIT
3:Civil-Ardhi
4-Civil-Udsm
5-Electrical-Udsm
Ushauri Wenu Muhimu Makaka Na Madada Zangu Maana Siku Zimeishaaaa.....KARIBUNI WOTE
Nadhani hiyo ya Civil DIT ungeweka ya kwanza.... upo sahihi kuchagua civil..hii nchi bado inajengwa..hakuna barabara..sewage system wala majengo..ila ni muhimu ujue kitu kimoja..
Ukisoma Civil one thing for sure..hautalala njaa ila..kupata utajiri itachukua muda kidogo..hadi ufungue kampuni yako au ufanye kazi kwenye kampuni kubwa na nafasi ya juu.