nilisema vile sababu najua ntu kwao, na anayekataa kwao ntumwa ! yee arudi tu asiwe na wasi, kwani anasubiri akina nani wamjengee nchi then ndio arudi ?
Mkuu Mtanganyika,
Kurudi kuishi nyumbani Tanzania kunategema na mambo mengi.
Je una mipango gani ya kibiashara kama unataka kufanya biashara ambapo inabidi(kwa tathmini yangu) uwe na paundi 100,000 kwa ku-set up biashara yako na kuanza kui-run. Hizo ni kwa maandalizi ya biashara yako ambayo pia inategemea ni biashara ya aina gani.
Lakini kama biashara ni kama duka, uuuzaji magari, kumiliki daladala, internet cafe, na mambo mengine kama hayo unahitaji pungufu ya hapo tuseme paundi 60,000.
Hapa kama unaishi Uingereza unaweza ukanunua magari makubwa yale ambayo ni used kwa less than £10,000 na ukaanza biashara na kuingia Kilosa na sehemu zingine.
Haya mambo yote ni provided kwamba tayari una assets kama nyumba umenunua au umejenga, gari ya kutembelea na fwedha benki ambayo inacheza kama paundi 20,000 na huigusi.
Pia unatakiwa uwe na hisa katika kampuni mbalimbali kama za simu,TBL, na kwingine.
Hivyo mkuu inabidi uwe na Business Plan ya nguvu ambayo ni siri yako na ndio biblia yako.
Unajua wenzetu wa West Afrika waloona mbali waliweza kufaidika na Ulaya ya enzi zile lakini kwa sasa inabidi uwe na maarifa zaidi, ya halali.

Kama unazo pesa za kuinvest peleka MOZAMBIQUE
Rudi nyumbani utakapo kuwa tayari ,namaana jitayarishe ujue utafanya nini.Kuhusu hizo kupanda na kushuka kwa shilling kuna jinsi nyingi ya deal na hilo.
Pia unatakiwa mchangawako ktk nchi yako kama unakumbuka Rais JF Kennedy alisema "usiulize nchiyako itakufanyia nini bali jiulize utaifanyia nini nchi"Kweli tunaitaji utawala bora ili tuendelee ila tunakuitaji wewe pia kubadilisha hilo.
GT nimesikia hata na baadhi ya jamaa zangu kwamba hata stock exchange yao in high liquidity compare na yetu ya Tanzania. Hiyo inamake alot of sense.
Nji nyingine ambayo wanacheza na investments vehicles nimesikia ni Malawi and Botswana. Sababu kuna mtu aliniambia kuhusu real estate zao zina appriciate kwa double digit. However, sijui kuhusu legel system ya nchi hizo. Can every one own business? What are the legel system? tax syestem yao? w
Mimi nakushauri urudi nyumbani kwa sababu TZ ndio nyumbani kwenu.Kwa nini taaluama yako ikawanufaishe watu wengine wakati watz bado tunakuhitaji?
Njoo tupambane na uozo uliopo TZ.
Je umekata shule? wewe ni mtaalamu wa nini ? nijibu kwanza kabla sijakushauri
MWANAMALUNDI HAO NDIYO WASOMIWETU HAO NDIYO WANAMAPINDUZI WAKOLONISasa wewe kwa akili yako unadhani ni jukumu la nani kurekebisha hali iliyopo tanzania??? Yaani wewe unataka kuishi kwenye nyumba safi wakati huo huo hutaki kufanya usafi???
Umenishangaza sana!
Sijakuelewa kama u mwoga ha wahrdships au mwoga wa usichokijua au basi tu mwoga wa kuambiwa uko tanzania.
Manake stori za kutisha kuhusu kuishi na kuanza maisha nje ya nchi ni nyingi sana lakini ukiwa na umri mdogo zaidi kuliko hivi sasa, ulijiingiza humo.
Inakuwaje unaogopa kujaribu kurudi? au mentality uliokuwa nayo imepotea?
mi nakushauri usiogope, maisha ni kokote, una sababu kibao za kurudi na sababu kibao za kubaki huko.
jipe moyo, jifunze, na tekeleza.
good luck.
sio kama nakudharau au vipi, manake hata mimi niko kwny dilema kuna kitu natak kufanya lakini naogopa halafu najicheka, still sifanyi, visingizio kubao najipa mwenyewe.