Extroverted Introvert
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 1,145
- 2,937
Harrier hajaiweka mwisho ila ameiweka nyongeza ambayo inaweza kufikiriwa kutumika. Kumbuka harrier haipo kabisa kwenye orodha hivyo huwezi kuongeza kitu ambacho hakijaulizwaMkuu niulize swali moja kwa ajili ya kujifunza.
Ni kwa nini harrier umeiweka mwishoni kabisa kwenye hayo machaguo je iko na changamoto zipi?
ooh sawa nimekupataHarrier hajaiweka mwisho ila ameiweka nyongeza ambayo inaweza kufikiriwa kutumika. Kumbuka harrier haipo kabisa kwenye orodha hivyo huwezi kuongeza kitu ambacho hakijaulizwa
Gari ni mzoefu sana tu wa kuendesha japo nilikuwa sijawahi kumiliki la kwangu binafsiKwanza kabla ya yote hujasema una uzoefu wa kiasi gani kwenye kuendesha gari.
Kama ni learner nunua kagari kadogo tu kwa ajili ya kujifunzia kabla hujanunua gari kubwa.
Vinginevyo itakufilisi kwa kununua spea za bei kubwa mara kwa mara kutokana na makosa ya kiuendeshaji.
Harrier ninayoipenda bei imesimama sana haitoshi kwa bajeti yanguHarrier hajaiweka mwisho ila ameiweka nyongeza ambayo inaweza kufikiriwa kutumika. Kumbuka harrier haipo kabisa kwenye orodha hivyo huwezi kuongeza kitu ambacho hakijaulizwa
Pamoja mkuu. Nimeiweka mwiso Kwasababu yeye hajaitaja, ila kama angeitaja ningeiweka ifukuzane na Rav 4.Mkuu niulize swali moja kwa ajili ya kujifunza.
Ni kwa nini harrier umeiweka mwishoni kabisa kwenye hayo machaguo je iko na changamoto zipi?
Chukua NISSAN WINGROAD watatumia mpaka wajukuu.Hii itakua gari yangu ya kwanza kumili ni mgeni kwenye hii màneno. Nataka kuagiza Japan.
BAJETI
Isizidi 35M
MATUMIZI
Kwenda kazini na misele ya town Dodoma mjini pamoja na likizo kwenda Mwanza
MACHAGUO
Rav4 3rd Generation
Mazda CX 5
Outlander
Forester Xt
Nissan Duals/X strail
Mambo muhimu ya kuzingatia kutokana na UZOEFU wako
Gari nzuri kwa beginner
Uimara wa gari.
Upatikanaji wa vipuri
Upatikanaji wa mafundi
Ulaji wa mafuta(sio kwa umuhimu sana)
Nawazilisha kwa maoni
Ulete picha ya hiyo chuma.Natangaza kua uzi huu umefungwa kwa comments ya Ndg mad max.
Asante sana muwe na cku njema.
Kazi ni kipimo cha utu
Weka mfano asee nikawe mteja.RAV 4 KUANZIA 2010 -2023 BEST EVER MADE, ... Lakini mimi huwa sioni umuhimu wa kuagiza kutoka Japan wakati Dar Kuna Magari Kibao ambayo yametoka Japan na Hayajawahi kutumika hapa Tanzania, na kizuri zaidi unapata fulsa ya Kuchagua , kutest nakadhalika, Lakini mambo ya kuagiza ubaya wake hakuna kutest, hakuna kufanya ukaguzi, ukisha agiza , umeagiza.... fikiria hapo, na kwa kuwa ni gari lako la kwanza, Maoni yangu Nenda Dar, kuna kampuni zinakuruhusu test drive mpaka siku 3.
Imekaa vzr mkuuRAV 4 KUANZIA 2010 -2023 BEST EVER MADE, ... Lakini mimi huwa sioni umuhimu wa kuagiza kutoka Japan wakati Dar Kuna Magari Kibao ambayo yametoka Japan na Hayajawahi kutumika hapa Tanzania, na kizuri zaidi unapata fulsa ya Kuchagua , kutest nakadhalika, Lakini mambo ya kuagiza ubaya wake hakuna kutest, hakuna kufanya ukaguzi, ukisha agiza , umeagiza.... fikiria hapo, na kwa kuwa ni gari lako la kwanza, Maoni yangu Nenda Dar, kuna kampuni zinakuruhusu test drive mpaka siku 3.