Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
"NISHAURI" TUNASEMAJE KWA KIINGEREZA?
Katika post hii naomba niwakumbushe msamiati sahihi wa "nishauri", yaani mtu akupe ushauri.
Kusema "nishauri" huwa tunasema "Advise me".
Narudia, "Advise me".
USISEME: Advice me.
Kuna tofauti kati ya "advice" na "advise".
Advice ni ushauri (noun), na advise ni shauri (verb).
Hata matamshi yake hayafanani. Nitakuandikia matamshi yake kwa Kiswahili.
Advise inatamkwa "ADVAIZ". Sauti ya Mwisho ni 'z'.
Advice inatamkwa "ADVAIS". Sauti ya mwisho ni "s".
MIFANO KATIKA SENTENSI:
1. Advise me what to do. - Nishauri nini cha kufanya.
2. Advise me what to buy. - Nishauri nini cha kununua.
3. Advise me where to go. - Nishauri wapi pakwenda.
ITAENDELEA .....