nishaurini jamani

Theboss atakuwa ameamka vibaya leo,
siyo kawaida yake kuwa na hasira kama hii.

Nakubaliana na wewe kuwa kukaa nyumba moja au karibu na mama mkwe ni janga kwenye ndoa nyingi
Lakini pia sikubaliani na wewe kumuita huyu mama mwehu just kwa kuamini maneno ya upande mmoja
 
Sheria za Calligastia. Dunia ilipoanza watu walikuwa wanaishi kwa ujanja wao wenyewe mpaka Mwenyezi Mungu alipomtuma Calligastia kuwa kiongozi wa Sayari.
1. Usimwogope au kumtumikia yeyote ipokuwa Mungu
2. Uwe mtiifu kwa mtoto wa Baba,kiongozi wa Dunia,na uwaheshimu wasaidizi wake.
3. Usiseme uomgo unapoitwa kutoa ushahidi.
4.Usiwaue wanaume wanawake au watoto.
5. Usiibe mali au ng'ombe za jirani yako.
6.Usifanye mapenzi na mke wa rafiki yako.
7. Waheshimu wazazi wako na wazee.

Calligastia ndiye anayeitwa ''shetani''

Baadaye ukatokea uasi mkubwa watu wanamuasi Mwenyezi Mungu halafu baadaye akaja Melkizedek,The Sheikh of Salem.[yaani Jeru-salem],na sheria zake
1.Namwamini El Elyon,ambaye pekee ndiye Baba wa wote aliyeumba Mbingu
2. Naamini agano,mkataba kati ya El Elyon na Melkizedek kwamba binadamu ataokolewa na imani tu,[kwa kuamini tu kwamba Mungu yupo]
3. Nitazitii sheria saba za Melkizedek,na kumweleza kila mtu kuhusu hili gano.

1.Sitamtumkia yeyote isipokuwa El Elyon.
2. Sitakuwa na shaka kwamba ni imani tu ndiyo inayohitajika kuokoka.
3. Nitaacha kuua,
4. Nitaaacha kuiba.
5.Nitaacha kuzini.
6.Nitaacha kusema uongo,[ nitaacha kusema maneno ya uchonganishi,nitaacha kuongea kwa ukali,nitaacha kuongea maneno ya mzaha]
7.Nitawaheshimu wazee na wazazi.


Hebu yatazame tena matatizo yako
 
Pole sn dd yng.cha muhimu ni kumuelezea mumeo vitimbi na uovu wa mamake.kuhusu kuingia chmbn mwambie kaona wp mambo hayo au ndo kwnz anavumbua yy!ficha walet yko kwn hata mmeo hatakiw kuipekua.jaribu kuwa bize naye na ikiwezkana kuka mbali naye kwan far apart the heart can grows founder.BYE.
 
yaani nawashukuru sana sana sana kwa ushauri wenu kwani pia nshaanza kuufanyia kazi! Mungu akipenda next wiki tunahama tumepata sehemu nyingine mbali na hapa! M.mungu atuongoze kwa kila kila jambo na atuondoshee matatizo yaliyotukabili kwa sote! nawashukuru sana na nawapenda nyote
 

ahsante kwa ushauri wako! ni kweli kwa uliyoyasema ndugu yangu hujakosea! tatizo pia usipoenda nyumbani kwake may b kwa cku km 4 ama 5 basi atakugombeza km mtoto mdogo vile! tena kwa ukali kabisa na anakupa amri kwamba antaka kila baada ya cku mbili niende na zisizidi kwan anaweza akanifanyia kitu kibaya! anasema kabisa wala haogopi!yaani hujakosea unavyosema anataka atucontrol anavyopenda yy! lkn saiv nimembadilikia kiasi flani na nashkuru amelitambua hilo! Mungu atanisaidia kwa hili!
 
karibu kwangu mama yangu hana shida kabsa...anyway hapo weka distance na mama mkwe itasaidia
 
Unajua kuna kitu kinaitwa "law of diminishing utility" ....hii hutokea sana pale mnapokuwa wanandoa halafu mnakaa either na wazazi pamoja au jirani.....!
Jaribu kukaa mbali na mnakuwa mnakuja once a year siku mbila au tatu mnasepa....ata kumiss huyoooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…