Kifai
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 816
- 173
Habari ya jumapili wapendwa? Ndugu zangu, kuna jamaa namdai hela yangu tsh 250,000 ila jamaa kila kukicha ananipiga tarehe, toka mwaka jana mwezi tatu ananiambia wk ijayo ntaku2mia, ukimpigia cm wk ijayo anakwambia mwezi ujao, nimeshachoka na ahadi zake, na kila nikienda kwake cmpati naambiwa amesafiri, naombeni ushauri nimfanye nini huyu mtu? Kwasababu hasira nilizonazo mungu ndo mshahidi wangu.