Nishaurini kabla cjafanya maamuzi mazito

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
Habari ya jumapili wapendwa? Ndugu zangu, kuna jamaa namdai hela yangu tsh 250,000 ila jamaa kila kukicha ananipiga tarehe, toka mwaka jana mwezi tatu ananiambia wk ijayo ntaku2mia, ukimpigia cm wk ijayo anakwambia mwezi ujao, nimeshachoka na ahadi zake, na kila nikienda kwake cmpati naambiwa amesafiri, naombeni ushauri nimfanye nini huyu mtu? Kwasababu hasira nilizonazo mungu ndo mshahidi wangu.
 
wakati mwingine ukiwa na huruma napo ni tatizo....yaliyo kupata wewe na kwangu ni hivyohivyo,sasa fanya kama umepoteza..muachie mungu ambaye anajua hasira zako,vinginevyo unaweza kufanya kitu ambacho kitakuja kukugarimu...amini usiami utakuwa shujaa sana kama utamuacha kuliko kufanya jambo baya....
 
Habari ya jumapili wapendwa? Ndugu zangu, kuna jamaa namdai hela yangu tsh 250,000 ila jamaa kila kukicha ananipiga tarehe, toka mwaka jana mwezi tatu ananiambia wk ijayo ntaku2mia, ukimpigia cm wk ijayo anakwambia mwezi ujao, nimeshachoka na ahadi zake, na kila nikienda kwake cmpati naambiwa amesafiri, naombeni ushauri nimfanye nini huyu mtu? Kwasababu hasira nilizonazo mungu ndo mshahidi wangu.

Ndugu Kifai punguza hasira. Ukizidi kubeba hasira utapoteza maradufu ya ulizomkopesha. Pesa zinatafutwa, lakini muda, amani na furaha havitafutwi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom