David Goliath
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 949
- 1,878
Nunua makobazi channel za ndani utaangalia illa kama ni movies na mpira wa ulaya DStvNapenda mipira yote ya bongo na ulaya, king'amuzi gani kinafaa hapo kwa huu uchumi wa kati? Naombeni ushauri
Jamani ebu nipeni uzoefu kuhusu dstv maana nilikuwa najaza kifurushi changu cha 29900 napata channel kibao kama magic bongo , national geography na vinginevyo vizuri tu ... Lakini sasa nimeweka Kama wiki hivi imepita kifurushi cha 29900 zaidi naona wasafi tu ,,, kama kuna mtu anafahamu channel nyingne za maana anielekeze aisee
Dah kutokujua lait ningejua ningeongeza iyo 1500Vifurushi vimepanda kilichokua 29,000 sasa ni 31,000 kilichokua 49,000 sasa ni 51,000 hata kile cha 19,500 sasa ni 21,000
AZAM ni takataka otherwise uwe wale wanaoshinda majumbani wakiangalia tamthilia zilizotafsiriwa na akina kingwendu basi utakipenda...hizo movie kwanza hakuna latest zote ni ni kuanzia miaka 4 nyuma na kurudiwa hadi unakariri matukio yotee..kupanga ni kuchaguaAzam Tv Burudan kwa wote Tz premier league, Bundesliga, League1, Epl game moja kila jmos unaiona free, carabao cup, FA Cup, vitasa kibongobongo, CAF, Films za kila aina kibongo, kizungu, kichina, documentary kibao yan usipokua na Azam Tv unakosa mengi Tena kwa bei Chee tu , DStv usipolipia kifurushi Cha kwanzia 50k utaichukia utaona Bora ukaitupe jalalani
Achana na weny chuki za kidini wanaichukia Azam labda kwasabab inamilikiwa na muislam ila zipo had channel za kikristo nyingi tu muda wote maombi
Kma akili yako umeielekeza kuangalia tamthilia za kike ni lazima utakua na makasiriko kama haya , ila kma unaangalia vtu vya kiume kma mpira na mambo ya muhimu documentary mbalimbali huwez kuijutia Azam Tv Burudani kwa woteAZAM ni takataka otherwise uwe wale wanaoshinda majumbani wakiangalia tamthilia zilizotafsiriwa na akina kingwendu basi utakipenda...hizo movie kwanza hakuna latest zote ni ni kuanzia miaka 4 nyuma na kurudiwa hadi unakariri matukio yotee..kupanga ni kuchagua
Hiki hata BURE siwezi pokea.Nunua dhuku
Hivi DSTV wana chanel inayoonyesha series za kifilipino au kikorea ambazo wanazitafsiri kiswahili kama ilivyo kwa Azam two kwenye AZAM na st swahili kwenye STAR TIMES ?
ila za kikorea na kifilipino zilizotafsiriwa kwa kizungu si zipo ? yaani kama Azam one kwenye AZAM na st zone kwenye startimes ?Dstv awajawahi kuwa na kitu kama hicho
Mimi nina king'amuzi cha Azam hata mwezi hakijaisha but I'm not enjoying it, but nadhani ni kwasababu sio mpenzi wa soka la bongo and I'm not used to Indian and arabian tradion kitu ambacho naona Azam yeye kwenye foreign chanels zake kabase huko na hata tamthilia anazozionyesha azam two anacheza na turkish series na indian series ambapo kwangu mi ni chenga tu, kwenye entartainment huwa napenda series za kifilipino na kikorea mixer na WWE pamoja na soka la Europe in general so kwahawa Azam naona kama nimeingia cha kike.Azam ndio kila kitu
Ungechukua DSTv mkuu... Azam inawafaa sana wanaopenda soka la Bongo, na wanaopenda tamthilia na movie za kibongo na tamthilia za Kituruki. Pole.Mimi nina king'amuzi cha Azam hata mwezi hakijaisha but I'm not enjoying it, but nadhani ni kwasababu sio mpenzi wa soka la bongo and I'm not used to Indian and arabian tradion kitu ambacho naona Azam yeye kwenye foreign chanels zake kabase huko na hata tamthilia anazozionyesha azam two anacheza na turkish series na indian series ambapo kwangu mi ni chenga tu, kwenye entartainment huwa napenda series za kifilipino na kikorea mixer na WWE pamoja na soka la Europe in general so kwahawa Azam naona kama nimeingia cha kike.
tatizo hawa madogo hapa home wanapenda tamthilia zilizotafsiriwa kwa kiswahili, kama zile za star swahili kwenye STAR TIMES_ na azam two kwenye AZAM,hibi kwani DSTV wana tamthilia zilizotafsiriwa kwa kiswahili ?Ungechukua DSTv mkuu... Azam inawafaa sana wanaopenda soka la Bongo, na wanaopenda tamthilia na movie za kibongo na tamthilia za Kituruki. Pole.
halafu hivi vifurushi vya dstv vinaanzia shilingi ngapi boss? I mean vipoje vipoje ?Ungechukua DSTv mkuu... Azam inawafaa sana wanaopenda soka la Bongo, na wanaopenda tamthilia na movie za kibongo na tamthilia za Kituruki. Pole.