Nishaurini kati ya Dstv na Azamtv ninunue kisimbuzi gani?

Jamani ebu nipeni uzoefu kuhusu dstv maana nilikuwa najaza kifurushi changu cha 29900 napata channel kibao kama magic bongo , national geography na vinginevyo vizuri tu ... Lakini sasa nimeweka Kama wiki hivi imepita kifurushi cha 29900 zaidi naona wasafi tu ,,, kama kuna mtu anafahamu channel nyingne za maana anielekeze aisee

Vifurushi vimepanda kilichokua 29,000 sasa ni 31,000 kilichokua 49,000 sasa ni 51,000 hata kile cha 19,500 sasa ni 21,000
 
Azam Tv Burudan kwa wote Tz premier league, Bundesliga, League1, Epl game moja kila jmos unaiona free, carabao cup, FA Cup, vitasa kibongobongo, CAF, Films za kila aina kibongo, kizungu, kichina, documentary kibao yan usipokua na Azam Tv unakosa mengi Tena kwa bei Chee tu , DStv usipolipia kifurushi Cha kwanzia 50k utaichukia utaona Bora ukaitupe jalalani

Achana na weny chuki za kidini wanaichukia Azam labda kwasabab inamilikiwa na muislam ila zipo had channel za kikristo nyingi tu muda wote maombi
 
AZAM ni takataka otherwise uwe wale wanaoshinda majumbani wakiangalia tamthilia zilizotafsiriwa na akina kingwendu basi utakipenda...hizo movie kwanza hakuna latest zote ni ni kuanzia miaka 4 nyuma na kurudiwa hadi unakariri matukio yotee..kupanga ni kuchagua
 
Kma akili yako umeielekeza kuangalia tamthilia za kike ni lazima utakua na makasiriko kama haya , ila kma unaangalia vtu vya kiume kma mpira na mambo ya muhimu documentary mbalimbali huwez kuijutia Azam Tv Burudani kwa wote
 
Hivi DSTV wana chanel inayoonyesha series za kifilipino au kikorea ambazo wanazitafsiri kiswahili kama ilivyo kwa Azam two kwenye AZAM na st swahili kwenye STAR TIMES ?
 
Azam ndio kila kitu
Mimi nina king'amuzi cha Azam hata mwezi hakijaisha but I'm not enjoying it, but nadhani ni kwasababu sio mpenzi wa soka la bongo and I'm not used to Indian and arabian tradion kitu ambacho naona Azam yeye kwenye foreign chanels zake kabase huko na hata tamthilia anazozionyesha azam two anacheza na turkish series na indian series ambapo kwangu mi ni chenga tu, kwenye entartainment huwa napenda series za kifilipino na kikorea mixer na WWE pamoja na soka la Europe in general so kwahawa Azam naona kama nimeingia cha kike.
 
Ungechukua DSTv mkuu... Azam inawafaa sana wanaopenda soka la Bongo, na wanaopenda tamthilia na movie za kibongo na tamthilia za Kituruki. Pole.
 
tatizo hawa madogo hapa home wanapenda tamthilia zilizotafsiriwa kwa kiswahili, kama zile za star swahili kwenye STAR TIMES_ na azam two kwenye AZAM,hibi kwani DSTV wana tamthilia zilizotafsiriwa kwa kiswahili ?
 
Ungechukua DSTv mkuu... Azam inawafaa sana wanaopenda soka la Bongo, na wanaopenda tamthilia na movie za kibongo na tamthilia za Kituruki. Pole.
halafu hivi vifurushi vya dstv vinaanzia shilingi ngapi boss? I mean vipoje vipoje ?
 
Back
Top Bottom