Nishaurini kati ya Dstv na Azamtv ninunue kisimbuzi gani?

tatizo hawa madogo hapa home wanapenda tamthilia zilizotafsiriwa kwa kiswahili, kama zile za star swahili kwenye STAR TIMES_ na azam two kwenye AZAM,hibi kwani DSTV wana tamthilia zilizotafsiriwa kwa kiswahili ?
Zipo channel 140 inaitwa mambo moto, sema sidhani kama watazipenda kama wanavyopenda za azam na startimes maana nyingi za wahindi na wa lebanon na egypt
 
Hivi DSTV wana chanel inayoonyesha series za kifilipino au kikorea ambazo wanazitafsiri kiswahili kama ilivyo kwa Azam two kwenye AZAM na st swahili kwenye STAR TIMES ?
Kama mdau wa dstv kiukweli sijawahi kuziona
 
Dstv napo hamna tamthilia za filipines kama ilivyokuwa star tv,nilikuwa nazikubali sana
 
poapoa boss, ndhani anayewekaga tamthilia za kifilipino na kikorea ni STAR TIMES asee.
Dstv napo hamna tamthilia za filipines kama ilivyokuwa star tv,nilikuwa nazikubali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…