Mimi nina king'amuzi cha Azam hata mwezi hakijaisha but I'm not enjoying it, but nadhani ni kwasababu sio mpenzi wa soka la bongo and I'm not used to Indian and arabian tradion kitu ambacho naona Azam yeye kwenye foreign chanels zake kabase huko na hata tamthilia anazozionyesha azam two anacheza na turkish series na indian series ambapo kwangu mi ni chenga tu, kwenye entartainment huwa napenda series za kifilipino na kikorea mixer na WWE pamoja na soka la Europe in general so kwahawa Azam naona kama nimeingia cha kike.